Simba kukutana na Yanga kesho

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha.

Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana.

Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga Yanga katika ufunguzi wa pazia la mashindano hayo kwa jumla ya mabao 3-1.

Wakati huo Simba...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Yanga, Simba kukutana Oktoba

MAHASIMU wa soka, Simba na Yanga, wanatarajiwa kukutana Oktoba mosi mwaka huu kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

 

2 years ago

Bongo5

Simba na Yanga kukutana leo nusu fainali ya kombe la Mapinduzi

Nusu fainali ya kombe la Mapinduzi yanayo fanyika mjini Zanzibar, itafanyika leo kati ya mchezo wa wapinzani wa jadi Simba na Yanga unaotarajiwa kufanyika leo katika uwanja wa Aman majira saa mbili na robo usiku.

Mchezo huo unao subiriwa kwa hamu na wadau wengi wa soka utakuwa wa kwanza kwao kukutana kwa mwaka 2017 kwenye kombe la Mapinduzi.

Timu ya Yanga wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na majeruhi baada ya kupata kipigo cha magoli 4 kwa bila dhidi ya Azam, wakati Simba wao wakiwa na...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA VS SIMBA " KARIAKOO DERBY' YAHAMIA UWANJA WA AMANI, KUKUTANA NUSU FAINALI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Baada ya ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Jang'ombe Boys zilizofungwa na mrundi Laudit Mavugo, timu ya Simba sasa itaumana na watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kuwa Jumanne.
Ni katika kipindi cha kwanza dakika ya 11, Mavugo anawainua mashabiki wa Simba baada ya kuipatia goli la kwanza na la kuongoza.
Mpaka inafika mapumziko Simba walienda kifua mbele kwa goli 1-0, na katika kipindi cha pili Simba waliingia kwa...

 

3 years ago

Habarileo

Simba leo, Yanga kesho

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara unafikia tamati leo na kesho.

 

4 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA KUKIPIGA DUBAI KESHO

kesho jumatatu katika jiji la Dubai kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Wapenzi na washabiki wa timu za Simba na Yanga katika mpambano wa kunogesha bonanza la nyama choma kwenya uwanja wa Al Ahli Stadium saa nne usiku. Utakuwa ni mpambano wa kukata ma shoka kila timu ikijigamba kuondoka na ushindi..... mtoto hatumwi dukani hapo

 

3 years ago

BBCSwahili

Dabi ya Simba na Yanga kupigwa kesho

Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena hapo kesho kwa jumla ya michezo sita kuchezwa.

 

2 years ago

Mtanzania

SIMBA, YANGA KUUMANA VIKALI KESHO

*Ni nusu fainali Kombe la Mapinduzi

simba-na-yangaNa MWANDISHI WETU-ZANZIBAR

VIGOGO wa soka nchini Simba na Yanga, kesho wataumana vikali katika pambano la kukata na shoka kwenye hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kumalizika Januari 12, mwaka huu.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar baada ya Simba kufanikiwa kuongoza Kundi B kwa kufikisha pointi 10 kutokana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana dhidi ya Jang’ombe...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mfaume kuzihukumu Yanga na Simba kesho

Nusu fainali za kombe la Mapinduzi zitasukumwa kesho katika Uwanja wa Amaan ambapo kamati ya Waamuzi tayari imeshawaweka hadharani Waamuzi watakaosimamia sheria 17 za soka katika michezo hiyo.

 

Nusu fainali ya kwanza itakayopigwa majira ya saa 10:15 za jioni kati ya Azam na Taifa ya Jang’ombe itachezeshwa na Muamuzi wa kati Mohammed Kassim “Edi” akisaidiwa na washika vibendera Nassor Salum Mohd (Line 1), Mustafa Khamis Hasira (Line 2), huku Muamuzi wa akiba akiwa ni Shehe Suleiman Humud na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani