Simba, Polisi Dar kazi wanayo

VINARA wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara Simba leo wana kibarua kizito cha kusaka ushindi katika mchezo wa raundi ya tano wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya timu ya Ligi Daraja la Kwanza Polisi Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga, mbona kazi wanayo!

SOKA la sasa nguvu yake kubwa ni fedha na mipango ya kisayansi zaidi, asikuambie mtu. Achana na blahblah za kuwa soka ni burudani tu na ujanja ujanja tu. Kama timu haina fedha wala mipango mizuri ni ngumu kuhimili vishindo katika michuano yoyote.

 

4 years ago

Mwananchi

WACHAMBUZI:Watangaza nia WANAYO KAZI YA KUWAKUNA Watanzania

Mpaka sasa wanaCCM waliotangaza nia ni Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, Charles Makongoro ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

2 years ago

Habarileo

Simba yachomoka rufaa ya Polisi Dar

SIMBA sasa iko salama kuendelea na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya TFF kuitupilia mbali rufaa ya klabu ya Polisi Dar es Salaam iliyokuwa ikitaka Simba ipokwe ushindi kwa kumchezesha mchezaji Novatus Lufunga katika mchezo wao wa raundi ya tano ya michuano hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

2 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Dar, lawatahadharisha mashabiki wa Simba na Yanga

Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa watani wa jadi wekundu wa msimbazi Simba SC na Yanga SC kucheza mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewatahadharisha wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutofanya fujo siku ya mechi.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari Kamishna wa Kanda hiyo, Kamanda Simon Sirro amesema jeshi lake limejipanga vizuri kuwadhibiti watakao fanya fujo.

“Mechi ya Simba na Yanga...

 

4 years ago

GPL

SIMBA HOI KWA POLISI MORO UWANJA WA TAIFA DAR

Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza dhidi ya Polisi Moro na kuambulia sare ya bao 1-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Polisi Moro kilichoanza dhidi ya Simba SC.…

 

1 year ago

Michuzi

MAKONDA AZIDI KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI KWA JESHI LA POLISI DAR ES SALAAM.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na  waandishi wa habari katika hafla ya kupokea Pikipiki za kisasa 10 kwaajili ya Askari wa Usalama Barabarani zenye thamani ya Shilingi Million 400 kutoka kampuni ya utengenezaji wa pikipiki ya TONGBA ya China. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akikagua kwa kujaribu kuziendesha Pikipiki  hizo za kisasa 10 kwaajili ya Askari wa Usalama Barabarani zenye thamani ya Shilingi Million 400 kutoka kampuni ya utengenezaji wa pikipiki...

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Siri ya majaji, RC kuacha kazi, OCD Polisi auawa kikatili Dar

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 17, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 16 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Siri ya majaji, RC kuacha kazi, OCD Polisi auawa kikatili Dar appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Michuzi

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu


Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa  Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova    amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu.  Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani