Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In Swing corner ambayo golikipa wa Yanga Ali Mustafa hakuweza kugundua.

The post Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Global Publishers

Simba Yaikatalia Yanga

Wilbert Molandi na Omari Mdose |  CHAMPIONI JUMAMOSI| Dar es Salaam

SIMBA imekomaa na imekataa kabisa kufungwa na Yanga leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakisema wanataka ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Simba imesema haitaki kuiona Yanga ikitwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya tatu mfululizo.

Klabu hiyo inaamini ikishinda itakuwa katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa. Mechi hii inachezwa huku timu hizo zikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa mzunguko...

 

3 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

3 years ago

Vijimambo

1 year ago

Habarileo

Simba, Yanga marufuku Taifa

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema kifungo cha Simba na Yanga kutotumia Uwanja wa Taifa kipo pale pale.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Simba kuiona Yanga Taifa

SIMBA itakwenda kwenye Uwanja wa Taifa kesho Jumatano kuwaangalia Yanga wakicheza na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara huku wao wakiisubiri Mbeya City Jumamosi hapohapo Taifa.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bila Pluijm Yanga yang’ara, Ubaoni yanga 4 JKT 0

Licha ya kutokuwa na kocha wake mkuu Hans van der Pluijm aliyejiuzulu kuifundisha timu hiyo kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa kiporo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Kocha msaidizi ambaye ameteuliwa na uongozi wa timu hiyo Juma Mwambusi alifanya vyema kazi yake na kushuhudia Yanga ikipunguza pengo la pointi kutoka pointi tisa hadi kufikia tano huku idadi ya michezo ikifanana.

Mshambuliaji Obrey Chirwa alifunga bao lake la tano na...

 

4 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania (Bara), huku Simba na Yanga zikipangwa kukutana Oktoba 12 katika pambamo litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

2 years ago

Global Publishers

Yanga yaifunga Simba bao 2-0 Taifa

1171887_1395023317472100_1077164999_n

Mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya Amiss Tambwe kushinda bao la pili dakika ya 72 kipindi cha pili.12748404_1678665689059561_2073043358_n

Mashabiki wakiendelea kushangilia.

Amiss Tambwe sasa ana magoli 15 katika VPL, akishika nafasi ya pili nyuma ya Kiiza mwenye 16.

A video posted by Shaffih Dauda (@shaffih) on Feb 20, 2016 at 6:37am PST

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani