SIMBA SC ILIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE TAMASHA LA SIMBA DAY

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY

Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu, kila mshindi amepata jezi ya juu pea moja pamoja na simu moja aina ya Motec. Washindi wa zawadi hizo ni Jeremia Venist, Ahazi Mwembe pamoja na Marko Mgimba. Mbali na zawadi hizo, klabu hiyo pia...

 

5 years ago

GPL

TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO

Ramadhan Singano 'Messi' akijaribu kuwatoka mabeki wa Zesco. Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (katikati) akikwaana na mabeki wa Zesco.…

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA SIMBA SPORTS CLUB EVANS AVEVA AZINDUA WIKI YA SIMBA NA SIMBA DAY 2016

Rais wa Simba Sport Club  Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na Mawasiliano Kutoka Eaggroup Richard Ryaganda( kushoto) .

Simba inasherehekea wiki maalum iliyo Batizwa Jina la Simba Week ambayoImezinduliwa Leo na Rais wa Simba Sport Club Ndugu Evans Aveva na  hufikia kilele chake Tarehe 8 Mwezi Agosti. Mwaka huu siku hii ya Simba week itakuwa na uzito wa kipekee kwani...

 

4 years ago

Dewji Blog

MO anogesha tamasha la Simba Day

IMG_1602

Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akichukua taswira mbalimbali kwenye majukwaa yaliyofurika mashabiki na wanachama wa Simba katika tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

IMG_1615

Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuu wakati wa tamasha la Simba Day. Kulia mwenye pama ni Makamu wa Rais wa klabu ya Simba SC, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

IMG_1648

Rais wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva...

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure ilivyokonga nyoyo za wengi 2015

Mwaka 2015 uko ukingoni kumalizika na 2016 unaingia. Kila mmoja anafanya hesabu ya mavuno katika kipindi hicho. Katika tathmini ya mchango wa sekta ya elimu mwaka huu, matukio kadhaa yamejiri, lakini mjadala wa ahadi ya elimu bure uliteka hisia za Watanzania wengi.

 

3 years ago

Michuzi

TAMASHA LA 35 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO LAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WA BURUDANI


 Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, limeendelea kukonga nyoyo za wakazi wa mji wa Bagamoyo na maeneo ya jirani ikiwa ni muendelezo burudani za kila siku tangu lilipofunguliwa mwanzoni mwa wiki hii, tamasha hilo limesheheni madhari halisi ya Muziki na ngoma mbalimbali za kiasili, Sanaa za Uchoraji na Uchongaji pamoja na Sanaa za Sarakasi na Maigizo mengi ya kuvutia na ya aina yake, linandelea kufanyika katika Kumbi za Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Mkoani...

 

2 years ago

Michuzi

Tamasha la Efm Njendani lakonga nyoyo za mashabiki wao Kigamboni.

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.

Kituo cha radio cha Efm kimewatembelea wakati wa Kigamboni  pamoja na kufanya vipindi moja kwa moja kupitia radio hiyo na kusikiliza changamoto mbalimbali za wakazi na kuzifanyia utatuzi ukiwa pia lengo ni kuwa karibu na wasikilizaji wao.
Tamasha hilo la  muziki Mnene Njendani limehudhuriwa na Mkuu wa wilaya Kigamboni Hashim Mgandilwa, Mkurugenzi Manispaa ya Kigamboni Stephen  Katemba wakiambatana na Mstahiki Meya wa Dar es Salaam Isaya Mwita ili kuweza...

 

3 years ago

Habarileo

Simba yaomba radhi mashabiki wake

BAADA ya Simba kupoteza mchezo wake dhidi ya Mwadui FC juzi, Kocha Msaidizi wa klabu hiyo Adam Abdallah ameomba radhi mashabiki kwa kushindwa kutimiza malengo waliyojiwekea.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani