SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY

Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu, kila mshindi amepata jezi ya juu pea moja pamoja na simu moja aina ya Motec. Washindi wa zawadi hizo ni Jeremia Venist, Ahazi Mwembe pamoja na Marko Mgimba. Mbali na zawadi hizo, klabu hiyo pia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE

Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva  wa tatu kutoka kushoto akiwa na Washindi wa bahati nasibu  Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup ImanKajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara.Rais wa Simba Evans Aveva Akikabidhi Zawadi kwa Mmoja wa Washindi 
Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Zawadi...

 

4 years ago

GPL

SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA‏

Balozi wa Simba, Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula.   Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali  wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo...

 

4 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS

Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (katikati) Akizungumza katika Uzinduzi Huo Akiwa na   Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya EAG Group LTD Imani Kajula (Kushoto) Pamoja na Meneja Uendeshaji wa Premier Mobile Solutions, Bi Lulu Ramole.
Simba Sports Club kwa kushirikiana na Kampuni ya Tigo Tanzania zimezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama ‘SIMBA NEWS’, ambayo lengo lake nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa zinazoihusu klabu ya Simba popote walipo nchini.
Huduma hii mpya...

 

4 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA

Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula  
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali  wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya  mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA SIMBA SPORTS CLUB EVANS AVEVA AZINDUA WIKI YA SIMBA NA SIMBA DAY 2016

Rais wa Simba Sport Club  Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na Mawasiliano Kutoka Eaggroup Richard Ryaganda( kushoto) .

Simba inasherehekea wiki maalum iliyo Batizwa Jina la Simba Week ambayoImezinduliwa Leo na Rais wa Simba Sport Club Ndugu Evans Aveva na  hufikia kilele chake Tarehe 8 Mwezi Agosti. Mwaka huu siku hii ya Simba week itakuwa na uzito wa kipekee kwani...

 

4 years ago

Dewji Blog

Simba Sports Club yawazawadi mashabiki wake

Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva  (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Washindi wa bahati nasibu pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eag Group Iman Kajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara.

Rais wa Simba Evans Aveva akikabidhi zawadi kwa Mmoja wa Washindi Uongozi wa klabu ya Simba umetoa zawadi kwa washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

4 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE

AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘KaburuSimba Sports Club leo hiiimezindua tovuti yake Ili kukuza  mawasiliano  na  wadau wake mbalimbali  hususani; wanachama, wapenzi, vyombo  vya  habari na wadau wengine muhimu. 

Akizungumza  wakati  wauzinduzi  huo  Rais  wa  Simba Evans Aveva  alisema ‘’Katika dunia na zama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba Sport Club waadhimisha tamasha la “SIMBA DAY”

SIMBA SC jana ilisherehekea vyema tamasha lake maalum la siku ya Simba maarufu ‘Simba day; baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wageni wao Rayon Sports ya Rwanda.

Mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambao ulihudhuriwa na mashabiki wengi wa Simba, pamoja na timu zote kuonyesha kandanda safi lililowavutia watazamaji waliofika uwanjani hapo.

Kiungo Mohamed Ibrahim ‘MOO’ ndiye aliyekuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kupachika bao hilo dakika ya 16 baada...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani