Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga

screen-shot-2017-01-11-at-12-31-06-am

Usiku wa January 10 2017 visiwani Zanzibar mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Mapinduzi Cup 2017 kati ya Simba dhidi ya Yanga ulichezwa visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amaan, baada ya Azam FC kutinga hatua ya fainali kwa kumfunga Taifa Jang’ombe goli 1-0. Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Simba kukutana na […]

The post Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Fainali ya AFCON 2017 ni Misri vs Cameroon, bye bye Ghana

Timu ya taifa ya Ghana usiku wa February 2 2017 inaungana na timu ya taifa ya Burkinafaso kuiga michuano ya AFCON 2017, hiyo inatokana na kukubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Cameroon katika mchezo wao wa nusu fainali ya pili ya AFCON. Ghana ambao walikuwa wanapewa nafasi kubwa na mashabiki […]

The post VIDEO: Fainali ya AFCON 2017 ni Misri vs Cameroon, bye bye Ghana appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-08-at-7-45-40-pm

Baada ya jana January 7 2017 Dar es Salaam Young Africans kuruhusu kufungwa goli 4-0 dhidi ya Azam FC na kumaliza Kundi B wakiwa nafasi ya pili, Simba wameifunga Jang’ombe Boys goli 2-0 na kuifanya Simba kumaliza Kundi A wakiwa nafasi ya kwanza. Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Jang’ombe Boys zilizofungwa na Laudit Mavugo […]

The post Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Yaya Toure bye bye Manchester City… kesho kutwa tu

sky nes

Ni kitambo toka tuanze kusoma vichwa vya habari kwenye Magazeti vikisema ….Yaya Toure kuondoka Man City >>> <<< Man City wamuahidi Yaya Toure asiondoke <<<  Baada ya hivyo vichwa vya habari, taarifa iliyothibitishwa April 4 2016 na wakala wa Yaya inasema hivi >>> ‘Tumesubiri kwa muda mrefu lakini Man City hawajatekeleza chochote kwenye ahadi walizotoa kwahiyo Yaya ataachana […]

The post CONFIRMED: Yaya Toure bye bye Manchester City… kesho kutwa tu appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: FC Bayern Munich bye bye Ligi ya Mabingwa Ulaya

3815

Mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya klabu ya FC Bayern Minich dhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mei 3 2016 katika uwanja wa Alianz Arena Ujerumani, mchezo huo umechezwa Ujerumani  Atletico Madrid wakiwa wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa goli 1-0. Katika mchezo wa marudiano uliochezwa usiku […]

The post VIDEO: FC Bayern Munich bye bye Ligi ya Mabingwa Ulaya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mwanaspoti

BYE BYE: Joe Hart azua majonzi Man City

MAMBO hufika mwisho. Licha ya kuwa mchezaji anayeheshimika sana Etihad, lakini juzi Joe Hart amelazimika kuwaaga mashabiki wa timu hiyo huku akikaribia kutokwa na machozi baada ya kucheza pambano ambalo linasadikika kuwa la mwisho kwake klabuni hapo.

 

2 years ago

MillardAyo

UEFA imepata Rais mpya, bye bye Michel Platini

ceferin_1409getty_875

Jumatano ya Septemba 14 2016 chama cha soka barani Ulaya UEFA kimefanikiwa kumpata Rais mpya wa chama hicho ambaye atamrithi Michel Platini katika nafasi hiyo, UEFA imefanikiwa kumchagua Aleksander Ceferin kuwa Rais wao mpya. Ceferin ambaye alikuwa Rais wa chama cha soka cha kwao Slovenia toka 2011, amechaguliwa leo na kutangazwa, baada ya kuungwa mkono na vyama 42 […]

The post UEFA imepata Rais mpya, bye bye Michel Platini appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Hii ndio ndinga mpya ya msanii Shilole asema bye bye Mark X…

Desktop 2333

Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang’anyang’a shilole leo March 20, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliweza kushea nasi video ikionesha gari lake jipya aina ya Harrier na kusema bye bye Mark X. Thanks God my new […]

The post Hii ndio ndinga mpya ya msanii Shilole asema bye bye Mark X… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

Bye bye England Staa wa Chelsea amekubali kumfuata Carlos Tevez Shanghai SIPG

i

Siku kadhaa zimepita baada ya staa wa zamani wa Man United na Juventus Carlos Tevez athibitishe kuwa anaondoka katika timu yake ya Boca Junior na kwenda kucheza soka China katika timu ya Shanghai SIPG. Kiungo wa Brazil anayeichezea Chelsea Oscar imeripotiwa na kuthibitishwa na timu ya Shanghai SIPG kuwa atajiunga nayo mwezi January, imeripotiwa na BBC Sports […]

The post Bye bye England Staa wa Chelsea amekubali kumfuata Carlos Tevez Shanghai SIPG appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani