Simba waipania Kanda ya Ziwa

SIMBA imepania kuondoka na pointi zote tisa katika Kanda ya Ziwa ili kujiweka vizuri katika mbio zake za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Kanda ya Ziwa kuamua ubingwa wa Simba

Mwaka 2015 ilielezwa kuwa kura za Kanda ya Ziwa ndizo zitakazotoa Rais wa Tanzania kwa kuwa kuna mikoa minane, na ikawa, Simba inakwenda kanda hiyo kwa mechi zake za Ligi Kuu na kimsingi ndizo zitakazoamua nafasi yake ya kutwaa ubingwa ama la.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba haoo wawahi fasta Kanda ya Ziwa

HIZI sasa ni nyodo! Simba wanakwambia hawana ‘super sub’ kwenye kikosi chao kila mmoja ana kiwango bora. Hii ni baada ya juzi Jumapili kumwanzisha kwenye kikosi cha kwanza Mohamed Ibrahim kwenye mechi yao na Toto African na kielezwa kuwa nyota huyo anafanya vizuri zaidi akitokea benchi.

 

3 years ago

Habarileo

Simba waipania Mtibwa

TIMU ya Simba imeipania Mtibwa Sugar katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

 

1 year ago

Michuzi

Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria

Mkuu wa mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa, akifungua kikao hicho, pembeni kulia ni Mratibu wa LVEMP Bw. Omari Myanza.Na Atley Kuni,  Mwanza.
Serikali mkoani hapa, imewapa jukumu kubwa viongozi wa dini kutoka baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa kuhakikisha wanakuwa bega kwa bega katika kulitunza ziwa Viktoria na Maliasili zake ili liweze kuwa tegemeo kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Akifungua Semina ya siku moja mkoani hapa Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, na risala yake kusomwa na Mkuu wa...

 

3 years ago

Habarileo

Singida United waipania Simba

TIMU ya Singida United imejigamba kuifunga Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa Februari 28 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa.

 

7 months ago

Michuzi

BAADA YA KANDA YA ZIWA ,SASA NI KANDA YA KATI TAMASHA LA PASAKA NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KESHO

Baada ya kufanya tamasha la pasaka kanda ya ziwa (Mwanza na mkoa wa Simiyu) na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa,sasa zamu ya kanda ya kati Dodoma,makao makuu ya nchi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo mjini Dodoma,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka,Alex Msama amesema sasa zamu ya kanda ya kati Dodoma.

"Tunamshukuru Mungu tumefanikisha salama tamasha la pasaka kanda ya ziwa,kwa maana kwamba ya mkoa wa Mwanza na Simiyu,kesho tunahitimisha kanda ya...

 

9 months ago

Malunde

TIGO YAWATUNUKU ZAWADI KWA MAWAKALA WAKE WA TIGO PESA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI


Mwakilishi wa mshindi wa Tigo pesa wakala David Lucas,Joyce David(wa pili kushoto) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kulia), wakati wa hafla ya kuwapa zawadi mawakala waliofanya vizuri kwenye miamala ya Tigo pesa iliyofanyika jijini Mwanza jana, kushoto ni Mratibu wa Tigo wa Masoko na Biashara kanda ya Ziwa Abraham Mchau akishuhudia. Mwakilishi wa mshindi wa Tigo pesa wakala kutoka Kahama mkoani Shinyanga Asha Athuman,Daud Kilonzo akipokea...

 

3 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

3 years ago

GPL

MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa homa kali kwa vyama vya upinzani, aliingia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani