Simba ‘wanguruma’ kombe la SportPesa Super Cup Kenya, Yanga na JKU wa Zanzibar hoi

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Simba wametolewa jasho naa Kariobangi Sharks ya Kenya kabla ya kuibuka mshindi kwa mabao 3-2 ya penalti.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

SPORTPESA WAINDUA SUPER CUP AWAMU YA PILI,SIMBA,YANGA SINGIDA NA JKU KUWAKILISHA TANANIA

Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa kuanza Juni 3-10, 2018 nchini Kenya kwenye uwanja wa Kimataifa wa Moi uliopo Kasarani.Timu zitakazoshiriki katika michuano hiyo kutoka Tanzania ni timu zinazodhaminiwa na SportPesa ambazo ni Simba, Yanga, Singida United pamoja na JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi kutoka Zanzibar), wakati kutoka Nairobi timu zitakazoshiriki ni Gor Mahia, AFC Leopards na Kariobangi Sharks na Kakamega...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Simba SC, Yanga watua Kenya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18, Simba SC Jana Mei 31 2018 wametua nchini Kenya wakifuatiwa na Kikosi cha klabu ya  Yanga walioondoka nchini majira ya saa 10:45 jioni kwaajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018 huko nchini Kenya.

Kikosi cha Yanga ambacho baadhi ya nyota wake hawajaonekana uwanjani hapo akiwemo Ibrahim Ajib kimeondoka kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri zaidi ingawaje kocha wa klabu hiyo, Zahera Mwinyi amedai kuwa michuano hiyo ni kama maandalizi...

 

11 months ago

Michuzi

YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA


Vikosi vya Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini Kenya.Yanga ,Simba ,Singida united na JKU wanakwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup itakayofanyika mjini Nakuru nchini Kenya.Michuano hiyo itaanza Jumapili ikishirikisha timu nane, nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.Kikosi kamili cha Yanga Sports Club  kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup .
Kikosi kamili cha Simba SC kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Baada ya kutolewa SportPesa Super CUP, JKU yaigeukia Kagame CUP

Baada ya kutolewa katika hatua ya awali katika Kombe la SportPesa Super Cup, Mabingwa watetezi wa Zanzibar klabu ya JKU wamejipanga kujindaa na michuano ya kagame CUP itakayofanyika Dar Es Salaam kuanzia juni 26 mwaka huu.

Akizugumza na Zanzibar24 kocha mkuu wa klabu ya JKU Hassan Ramadhan amesema licha ya kufanya vibaya kwenye Mashindano ya Sport Pesa Cup yanayoendelea kule Nairobi Kenya sasa wamejipanga kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika Mashariki.

Amezungumzia kikwazo kikubwa kwenye timu...

 

11 months ago

BBCSwahili

Singida United wajiunga na Simba nufu fainali kombe la SportPesa Super Cup

Klabu ya Singida United ya Tanzania Bara imeishinda AFC Leopards ya Kenya kwa mabao 4-2 ya penalti na kufuzu kwa nusu-fainali ya mashindano ya kandanda ya SportPesa Super Cup.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup

June 5 2017 Mabingwa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya Tusker FC katika mchezo wa SportPesa Super Cup, Yanga wamefanikiwa kuitoa Tusker FC katika michuano hiyo. Yanga wamefanikiwa kuifunga Tusker FC kwa  mikwaju ya penati 4-2, hivyo ushindi huo umeipeleka Yanga katika hatua […]

The post VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA YATINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP KWA KUITOA TUSKER YA KENYA KWA PENATI

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga imekuwa timu ya kwanza toka Tanzania kutinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penati. Katika mchezo wa kwanza Singida United ilicheza dhidi ya AFC Leorpads ya Kenya na vijana hao wa Hans Van Der Pluijm walitolewa  kwa  penalti 5-4 Yanga imeing’oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila bao.  Kipa wa Yanga, Deo Munishi maarufu kama Dida alichangia kung’olewa kwa Tusker...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Simba imetolewa SportPesa Super Cup

Baada ya jana June 5 2017 kuchezwa michezo ya ufunguzi wa michuano ya SportPesa Super Cup 2017 na kushuhudia AFC Leopards ya Kenya na Yanga ya Tanzania zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup. Leo June 6 2017 michezo ya robo fainali miwili ilichezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, […]

The post PICHA: Simba imetolewa SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani