Simba washikana uchawi

KLABU ya Simba imesema kuwa imewabaini wachezaji wake waliocheza chini ya kiwango hadi timu hiyo kupoteza mechi mbili mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Simba washikana uchawi, yamshtaki mwamuzi

Simba-vs-Yanga-8NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KIPIGO ilichokipata timu ya Simba kwenye mchezo dhidi ya mahasimu wao, Yanga juzi kimezua mapya kwa wekundu hao baada ya wachezaji watatu wa safu ya ulinzi kudaiwa kufanya hujuma

Yanga ilivunja uteja dhidi ya Simba kwa kuichapa mabao 2-0 yaliyofungwa na washambuliaji, Amissi Tambwe na Malimi Busungu.

Habari za kutoka ndani ya Simba zilizolifikia gazeti hili zimedai kuwa wachezaji hao wa safu ya ulinzi walishindwa kabisa kuwazuia washambuliaji wa Yanga,...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wapentekoste washikana uchawi

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika...

 

3 years ago

Mwananchi

CCM Iringa ‘washikana uchawi’

Baadhi ya wanachama wa CCM katika Jimbo la Iringa Mjini, wanamtuhumu Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu na viongozi na wanachama wengine kuwa wamekihujumu chama.

 

2 years ago

Mwananchi

CUF, CCM washikana uchawi

Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria (CUF) Wilaya ya Wete, Mwinyi Juma Ali amesema  chama hicho kinaheshimu misingi ya utawala bora na haki za binadamu, hivyo tuhuma za ubaguzi hazina ukweli  wowote.

 

2 years ago

Mwananchi

Kundi C la Kwanza washikana uchawi

Kundi C la Ligi Daraja la Kwanza limeendelea kuwa gumu kwa timu tatu kuwania kupanda msimu ujao wa Ligi Kuu baada ya matokeo ya juzi.

 

2 years ago

StarTV

CUF NA POLISI washikana uchawi Zanzibar

qw

Chama cha Wananchi (CUF) kimevunja ukimya baada ya kuhusishwa na uhalifu huo huku kikituma ujumbe kwa Jeshi la Polisi kwamba, kama wana ushahidi waende mahakamani.

Katika siku za hivi karibu Zanzibari imekuwa ikitikiswa na vitendo vya kinyama ikiwa ni pamoja na kuvamiwa na kuteswa hususan walioonekana kuunga mkono upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka jana.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Unguja, Salim Abdalla Bimani, Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma wa CUF...

 

9 months ago

MwanaHALISI

CCM washikana uchawi, uchaguzi wa naibu meya

DIWANI mmoja kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina tunalihifadhi kwa sasa, ameibua taharuki baada ya kuamua kumpigia kura mgombea wa nafasi ya naibu meya katika halmashauri ya jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi… (endelea). Taarifa kutoka ndani ya ukumbi wa mikutano wa Karimjee, jijini Dar es Salaam zinasema, diwani huyo aliamua kupigia kura ...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Uchawi wa Simba kumbe rahisi tu

KAMA ni hivi tunakoelekea, huenda Yanga ikaomba Simba wasionyeshwe kadi nyekundu. Takwimu zinaonyesha kwamba Simba inakuwa hatari sana kama wakicheza pungufu kwa kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Yanga.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani