Simba watambia kikosi chao

KOCHA wa Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja ametamba kuwa na kikosi kipana na bora msimu huu, huku akidai kuwa matokeo ya mechi ya Azam FC na Majimaji yataamua hatma ya Simba kutwaa ubingwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Mwanaspoti

ROHO NYEUPE: Usajili umeipa Simba kikosi kipana, Yanga kikosi cha ushindani

SIMBA na Yanga, kama ilivyo kwa timu nyingine za Ligi Kuu Bara, nazo ndio zipo mwishoni kabisa katika harakati za usajili kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mashindano. Dirisha la usajili kwa wachezaji wa ndani litafungwa keshokutwa Jumapili. Usajili uliofanyika mpaka sasa umezipa Simba na Yanga makali tofauti. Simba imepata kikosi kipana wakati Yanga imepata kikosi bora cha kwanza. Unajua ni kwa nini? Twende pamoja.

 

7 months ago

Michuzi

WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO

Mgeni rasmi Bi. Butano Philipo wakiwa na Mwenyekiti wakizindua vitabu mbalimbali ikiwemo kitabu cha  Ufugaji wa samaki.
Chama cha wanawake  wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo,Mifugo,Uvuvi na Mazingira, Tanzania association of women leaders in agriculture and environment  ( TAWLAE) wamefungua rasimi mkutano wa mwaka  wa 21 na kuhudhuriwa na Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa raisi bi Butamo Philipo kwa  niaba ya waziri wa  Mazingira  Mhe. January Makamba ambao umefanyika  jana katika viwanja...

 

2 years ago

Mtanzania

Azam watambia makocha vijana

AZAM-FC_0NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu  ya soka ya Azam, umesema kwamba  ubora wa klabu hiyo msimu ujao utaimarika mara dufu  baada ya kuajiri makocha vijana kuwazidi wapinzani wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ambao  bado wanahaha na makocha wenye umri mkubwa.

Kauli hiyo ya Azam inatokana na hivi karibuni kuajiri makocha wawili vijana kutoka klabu ya Deportivo Tenerife ya Hispania  akiwamo Kocha Mkuu, Zeben Hernandez na msaidizi wake, Jonas Garcia, baada ya kuachana na kocha wao wa...

 

3 years ago

Habarileo

Wanawake wa Kilombero watambia mafanikio yao

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.BAADHI ya wanawake wa wilaya ya Kilombero mkoa wa Morogoro ,wameeleza mafanikio ya kiuchumi waliyopata kupitia vikundi vya kuweka na kukopa kwamba yamesaidia pia kuimarisha ndoa miongoni mwao.

 

4 years ago

Mwananchi

Kiongera achelewesha kikosi Simba

Kocha Patrick Phiri amesema mshambuliaji wake Raphael Kiongera ndiye anayemchelewesha kupata kikosi cha kwanza kutokana na kuchelewa kuripoti kambini.

 

2 years ago

Global Publishers

Omog apangua kikosi Simba SC

SIMBA DAY (2)Kikosi cha timu ya Simba.

Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
USIIONE Simba imekuwa tamu ukadhani benchi la ufundi limeridhika! Katika kuhakikisha anatimiza ahadi yake ya kushinda kila mechi ya Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog, amekipangua kikosi chake kidogo kwa kuwaingiza na kuwaondoa wachezaji watatu kwenye ‘First Eleven’ yake.

Joseph-Marius-Omog

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

Mabadiliko hayo ya kikosi chake yanatarajiwa kuonekana kwenye mechi ya leo ya ligi kuu wakati timu...

 

1 year ago

Mwananchi

Simba yabadili kikosi Yanga

Kocha wa Yanga, George Lwandamina atalazimika kubadilisha kikosi chake kitakachocheza kesho dhidi ya Ngaya katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa lengo la kujiandaa vizuri dhidi ya Simba.

 

3 years ago

Mwananchi

Kikosi cha kwanza Simba shakani

Ni wazi kuwa kocha mkuu wa Simba, Dyran Kerr na benchi lake la ufundi wameshapata kikosi chao cha kwanza kwa ajili ya Ligi Kuu, lakini wana kazi ya ziada kuelekeza mfumo wa 4-4-2 ambao umeonekana kutoeleweka vizuri hadi sasa kwa wachezaji wake.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani