Simba yaizima Yanga Zanzibar

Penalti nne zimetosha kuifanya Timu ya Simba kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuicharaza Yanga iliyoambulia mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Azam yaizima Yanga

AZAM FC jana ilimaliza ubabe wa Yanga katika michuano ya Kombe la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 5-4 katika mchezo wa robo fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

4 years ago

Michuzi

URA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati),  akiwatoka  mabeki wa timu ya URA ya Uganda  katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. URA imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

 

4 years ago

GPL

Yanga yaifunika Simba Zanzibar

Wachezaji wa Yanga. Na Wilbert Molandi, Unguja
KLABU ya Yanga imeendeleza rekodi nzuri ya mapato ya mechi kisiwani Zanzibar ambapo imeizidi Simba ambayo nayo ipo Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na msimu mpya utakaoanza mwezi ujao.
Yanga ilifanikiwa kuingiza shilingi milioni 8.9 katika mchezo wake wa kirafiki dhidi ya KMKM, juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. Upande wa Simba ambao ni wapinzani wakuu wa...

 

1 year ago

Habarileo

Simba na Yanga hukumu Zanzibar

SIMBA na Yanga leo zinakutana kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu, safari hii zikikutana nje ya Uwanja wa Taifa na si kwenye mechi ya Ligi Kuu bara bali Kombe la Mapinduzi.

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga yagoma kuifuata Simba Zanzibar

katibu+yangaNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Yanga ni kama inawakwepa watani wao wa jadi Simba, baada ya kuachana na mpango wake wa kuweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza Jumamosi hii.

Awali mabingwa hao wa Ligi Kuu walipanga kuifuata Simba Zanzibar, lakini ghafla wamebadili msimamo wao na kuamua kubaki jijini Dar es Salaam kwa madai huenda wakapata tabu ya uwanja wa kufanyia mazoezi wakiwa Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha,...

 

1 year ago

Michuzi

USIRI WATAWALA YANGA NA SIMBA, KUVAANA LEO USIKU UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAr


Na Zainab Nyamka, 
Globu ya Jamii, ZanzibarIKIWA imebakia masaa machache kufikia mtanange wa watani wa jadi kuelekea nusu fainali ya kombe Mapinduzi, viongozi wa timu hizo mbili wamegoma kuzungumza na vyombo vya habari na zaidi wakisema mpira ni dakika 90.Wakati  Simba wakiingia msituni wakitoka pale walipokuwa wanakaa toka kuanza kwa mashindano haya, Yanga wameendelea kusalia pale pale huku wakiwaficha wachezaji wao na kuamua kufanya mazoezi usiku kwenye Uwanja wa Amani.Mashabiki wa pande...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Simba ‘wanguruma’ kombe la SportPesa Super Cup Kenya, Yanga na JKU wa Zanzibar hoi

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Simba wametolewa jasho naa Kariobangi Sharks ya Kenya kabla ya kuibuka mshindi kwa mabao 3-2 ya penalti.

 

1 year ago

Michuzi

SIMBA WAENDA KUWEKA KAMBI ZANZIBAR TAYARI KWA KUWAKABILI WATANI WAO YANGA FEB 25

Wachezaji wa Simba wakiingia eneo la bandari kwenda kupanda boti ikiwa ni safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi Laudit Mavugo akiwa anaongoza kuelekea eneo la kusubiria boti wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
 Wachezaji wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani