Simba, Yanga wakutanishwa mapema Kagame

MAHASIMU wa soka Tanzania, Simba na Yanga watakutanishwa mapema katika michuano ya Kombe la Kagame, linalotarajiwa kutimua vumbi nchini kuanzia Juni 28 hadi Julai 13, ambapo Julai 5 watakutana katika mchezo wa mwisho wa Kundi C. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kwa mujibu wa ratiba ya Cecafa iliyotolewa leo, inaonyesha Simba na Yanga zimepangwa Kundi ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Simba yashtuka yaiwahi Yanga mapema Zenji

KATIKA mechi tatu za Ligi Kuu Bara zilizopita dhidi ya watani zao Yanga, Simba ilikuwa ikitokea mkoani Morogoro na hakuna iliyoibuka na ushindi, jambo lililowashtua viongozi wake na fasta wakaamua kufanya mambo ili kurekebisha upepo.

 

4 years ago

Mwananchi

Yanga yaibania Simba Kagame

Dar es Salaam. Uongozi wa Yanga una mpango wa kutoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame endapo Baraza la Vyama vya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) litakiuka utaratibu kwa kuiteua Simba kushiriki michuano hiyo.

 

3 years ago

Mwanaspoti

NINAVYOJUA: Ni mapema mno kuzipeleka Simba, Yanga Chamazi

TANZANIA ni taifa la ajabu, hasa unapozungumzia suala la ushabiki wa soka hasa kwa timu zetu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom na hata zile zilizowahi kutamba katika ligi hiyo kama vile Tukuyu Stars, Coastal Union, Pamba na nyingine.

 

4 years ago

Mwananchi

Yanga yaisaka rekodi ya Simba kombe la Kagame

Yanga itashiriki kwenye Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki (Kagame Cup) yatakayofanyika hapa nchini kuanzia mwezi Julai baada ya Tanzania kupewa uenyeji wa mashindano hayo.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Yanga kuchuana na Simba FC kombe la Kagame Cup

Klabu mbili mahasimu kutoka Tanzania, Simba na Yanga zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 28 hadi Julai 13, 2018 .

Timu hizo zimepangwa kundi C ambapo zimeungana na klabu nyingine za St. George kutoka Ethiopia na Dakadaha Somalia.

Makundi hayo ya michuano ya Kagame Cup yametangazwa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na makundi mengine ni kama ifuatavyo hapa chini.

Michuano hiyo kwa mwaka huu inafanyika hapa nchini na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Tshabalala kulaza Yanga mapema

INAAMINIKA kuwa sehemu kubwa ya ushindi wa Simba unapatikana pale inapotumia mastraika watatu na mabeki wa pembeni ndiyo mabwana mipango wa kuhakikisha mambo yanakwenda sawa.

 

2 years ago

Mwananchi

Yanga yaota bao la mapema

Wachezaji wa Yanga wameondoka na lengo moja la kupata bao la mapema dhidi ya Zanaco katika mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

4 years ago

Mwananchi

Pluijm ataka bao la mapema kuiua Simba

Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Pluijm ametaja mbinu mkakati atakazozitumia Jumapili kuwasambaratisha watani wao wa jadi, Simba.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani