SIMBA YAONESHA UTII


Kocha wa Simba Patrick Aussems
Licha ya kukabiliwa na mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi klabu ya Simba, imesema itasafiri siku ya Jumatano ya tarehe 2.01.2019, kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Simba imeeleza kuwa inaondoka na kikosi kamili ili kufanya vizuri kwenye mashindano hayo, na pia kuipa mazoezi timu hiyo ambayo inajiwinda na mechi ya kwanza ya kundi D ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Maestro aahidi utii Simba

clouds news (1)

Ibrahim Masoud ‘Maestro’.

Na Mwandishi wetu

Ibrahim Masoud ‘Maestro’ aliyekuwa mgombea nafasi ya ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, amesema pamoja na kushindwa katika uchaguzi wa Juni 29, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu na kutoa kila ushirikiano ikiwezekana kwa maslahi ya klabu hiyo.

Maestro aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kwa miaka minne iliyopita chini ya uongozi wa Alhaji Ismail Aden Rage, alisema hana tatizo na kushindwa kwake akisema demokrasia imechukua...

 

5 years ago

Michuzi

4 years ago

Mwananchi

Utii wa sheria ni jukumu letu sote

Utii wa sheria ni jambo muhimu katika jamii. Sheria zimekuwapo tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu JKT watakiwa kuzingatia utii

JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wahitimu wa mafunzo ya awali kuzingatia utii na uwajibikaji katika jamii wanazoishi ili kuepuka migogoro. Aidha, kupitia mafunzo waliyoyapata yasiwe kwa faida yao pekee...

 

2 years ago

Habarileo

Askofu: Muwe na utii, upendo, wanyenyekevu

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa, amewataka waumini na Watanzania katika kusherehekea sikukuu hiyo ya Krismasi kuzingatia mambo manne ambayo ni utii, unyenyekevu, upendo na upatanisho.

 

2 years ago

Channelten

Utii wa Sheria na Mh. Peter Msigwa – 04.10.2017

Part 01

Part 02

Share on: WhatsApp

The post Utii wa Sheria na Mh. Peter Msigwa – 04.10.2017 appeared first on Channel Ten.

 

4 years ago

Vijimambo

5 years ago

GPL

UTII WA SHERIA BILA SHURUTI BADO NI TATIZO

Dereva bodaboda akiwa mikononi mwa polisi baada ya kuwakimbia na baadaye kunaswa. Dereva huyo akiwa chini ya ulinzi. DOGO mmoja ambaye ni dereva wa bodaboda amejikuta akimaliza siku vibaya baada ya kukiuka sheria za usalama barabarani na kuwakimbia polisi ambao walimtolea uvivu kwa kumkimbiza na baadaye kufanikiwa kumtia mikononi. (Picha zote na Gabriel… ...

 

5 years ago

Habarileo

Kanisa lakumbusha utii wa sheria na mamlaka ya nchi

Askofu Gervas NyaisongaASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma Mhashamu Gervas Nyaisonga  amewataka wananchi kutii sheria zilizowekwa na mamlaka ya nchi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani