Simba yapeta Kombe la FA

lyangaNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Simba jana ilifanikiwa kuingia kwa kishindo hatua ya nane bora ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuichapa Singida United mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Simba ilikata tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo baada ya kuifunga timu ya Burkina Faso ya Morogoro mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Simba walioingia uwanjani wakitumia mfumo wa 4-3-3 kwa lengo la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Kombe la ligi:Man U yapeta

Manchester United imepata ushindi wa mteremko wa mabao 3-0 pale ilipomenyana na Ipswich Town katika mchezo wa kombe la ligi.

 

2 years ago

Mwananchi

Simba yapeta, Kiluvya yaduwaza

Mabao ya Pastory Athanas na Mohammed Hussen ndiyo jambo pekee lililoonyesha tofauti kati ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba na Polisi Dar katika mchezo wa Kombe la FA uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga yatoka sare,Simba yapeta

Yanga ikiwa ugenini huko Shinyanga ilikwenda sare ya mabao 2-2 na Mwadui Fc.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lyon yaiduwaza Simba, Yanga yapeta Mbeya, Azam bado sana… Matokeo yote ya VPL haya hapa

Kikosi cha Simba kimepoteza kwa mara ya kwanza mchezo wake wa Ligi ya Vodacom Tanzania baada ya kufungwa na African Lyon bao 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Kipigo hicho kimepoteza rekodi nzuri ya Simba ya kucheza mechi sita bila kufungwa.

Kufungwa kwa leo kunaifanya Simba kumuongiza gepu la pointi kutoka nane hadi kufikia tano dhidi ya bingwa mtetezi Yanga anayeshika nafasi ya pili akiwa na pointi 30.

Matokeo ya mechi zote za leo haya hapa chini

 

matokeo-vpl

msimamo-wa-vpl

The post Lyon...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba wakomaa na Kombe la FA

LICHA ya Simba kutojua watacheza na nani nusu fainali ya Kombe la FA, wanachokiangalia ni kujifua ili timu itakayokuja mbele yao iambulie kipigo.

 

3 years ago

Habarileo

Simba wapania Kombe la Mapinduzi

TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.

 

4 years ago

BBCSwahili

Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi

Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

2 years ago

Habarileo

Simba vitani Kombe la Mapinduzi

SIMBA inashuka uwanjani kucheza na timu ya Taifa ya Jang’ombe mchezo wa kombe la Mapinduzi, utakaochezwa saa 2:30 usiku leo kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

4 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani