SIMBA YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI KWA KUIFUNGA YANGA 4-2 KWA MATUTA

Na Bin ZubeirySIMBA SC imefanikiwa kwenda fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuwatoa watani wa jadi, Yanga kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.  Penalti za Simba zilifungwa na Nahodha Jonas Mkude, kipa Daniel Agyei, Muzamil Yassin na beki Mkongo Janvier Besala Bokungu, wakati kipa wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’ aliokoa mkwaju wa beki Mzimbabwe Method Mwanjali. Waliofunga penalti za Yanga ni Simon Msuva na kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko wakati kipa Mghana wa Simba, Daniel Agyei aliokoa penalti za Dida na Mwinyi Hajji Mngwali.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Bongo5

Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

SIMBA YAIFUATA AZAM FAINALI, YAING'OA YANGA KWA MATUTA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii, Unguja

NI AZAM VS SIMBA, klabu ya Simba imeendeleza ubabe kwa watani wao wa jadi Yanga baada ya kuwaondoa kwenye hatua ya nusu ya kombe la mapinduzi kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.Penalti za Simba zilifungwa na Nahodha Jonas Mkude, kipa Daniel Agyei, Muzamil Yassin na beki Mkongo Janvier Besala Bokungu, wakati kipa wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’ aliokoa mkwaju wa beki Mzimbabwe Method...

 

3 years ago

GPL

BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA

Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kushinda kwa penalti 3-2 dhidi ya Chile. ...Mashabiki  Brazil wakishangiia. Wachezaji wa timu ya…

 

11 months ago

MillardAyo

Simba yatinga robo fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa idadi hii ya goli Singida United.

IMG-20160228-WA0012 (1)

Jumapili ya February 28 Kombe la FA Tanzania liliendelea kwa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa 16 bora dhidi ya klabu ya Singida United katika dimba la Taifa Dar Es Salaam. Simba ambao waliingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupata majeraha ya kufungwa na Yanga katika mechi zao mbili […]

The post Simba yatinga robo fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa idadi hii ya goli Singida United. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

StarTV

Timu za Mtibwa, Yanga zajitayarisha kwa Nusu fainali Kombe La Mapinduzi

Baada ya kufanikiwa kuingia Hatua ya nusu Fainali katika kombe la Mapinduzi  visiwani Zanzibar kwa timu ya Mtibwa na Timu ya Yanga makocha wa timu hizo wanaelezea  matayarisho ya timu zao  yenye lengo la kutwaa ubingwa wa kombe hilo .

Akizungumza na wanahabari mara baada ya kumalizika kwa Pambano  lao na Yanga Kocha wa timu ya Mtibwa  sugar Maks Macsime  anasema licha ya kupoteza mchezo huo kwa kufungwa  mabao 2 – 1 ila amefarajika kutinga hatua hiyo  huku akisema kinachofuata ni kupanga...

 

2 weeks ago

Bongo5

Simba na Yanga kukutana leo nusu fainali ya kombe la Mapinduzi

Nusu fainali ya kombe la Mapinduzi yanayo fanyika mjini Zanzibar, itafanyika leo kati ya mchezo wa wapinzani wa jadi Simba na Yanga unaotarajiwa kufanyika leo katika uwanja wa Aman majira saa mbili na robo usiku.

Mchezo huo unao subiriwa kwa hamu na wadau wengi wa soka utakuwa wa kwanza kwao kukutana kwa mwaka 2017 kwenye kombe la Mapinduzi.

Timu ya Yanga wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na majeruhi baada ya kupata kipigo cha magoli 4 kwa bila dhidi ya Azam, wakati Simba wao wakiwa na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

2 years ago

Mtanzania

Yanga yatinga robo fainali Mapinduzi Cup

Pg 32 leo

TIMU ya Yanga jana ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Polisi ya humo mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Timu hizo zilizopo katika Kundi A ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zao za kwanza, ambapo Yanga iliifunga Jango’mbe kwa mabao 4-0, huku Polisi ikiifunga Shaba ya huko kwa bao 1-0.
Shujaa wa Yanga kwenye mchezo huo alikuwa ni winga wake wa kushoto, Mbrazil Andrey...

 

11 months ago

MillardAyo

Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba kwa kuifunga mara ya 31 (+Pichaz)

DSC_0604

February 20 2016 Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania bara, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ndio ulichezwa mchezo uliokuwa umeteka hisia za mashabiki wengi wa soka, kwani ilichezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga. Simba ambao walikuwa wanajitahidi kusaka point tatu na kulipiza […]

The post Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba kwa kuifunga mara ya 31 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani