Simeone ajigamba mafanikio ya Atletico

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesema anaamini kikosi chache ni miongoni mwa klabu bora barani Ulaya kutokana na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa juzi.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Simeone kutafakari hatma yake Atletico Madrid

Meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone anasema ataanza kutafakari kuhusu kuendelea kukiongoza klabu hicho baada ya kushindwa siku ya Jumamosi.

 

1 year ago

Mwananchi

Simeone afikiria maisha mapya Atletico Madrid

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesema ataanza kufikiria juu ya maisha yake katika klabu hiyo baada ya mchezo wao wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumamosi.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Griezmann na Simeone aiongoza Atletico Madrid kutawala tunzo La Liga

Mshambualiji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa La Liga kwenye hafla maalum iliyofanyika jijini Valencia jana.

Griezmann ameshinda tuzo hiyo mbele ya wakali wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez ambao wao na timu yao ya Barcelona walisusia tunzo hizo

Diego Gordin wa Atletico Madrid alifuta ufalme wa Sergio Ramos  Real Madrid wa miaka minne katika tunzo ya Beki bora.

WASHINDI WA TUZO ZA LA LIGA MSIMU WA 2015-16 Mchezaji Bora: Antoine Griezmann...

 

7 months ago

Bongo5

Diego Simeone asema hatomzuia mchezaji yeyote kuondoka Atletico Madrid

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema kwamba hashangai kuona vilabu vyenye uwezo wa kumsaini Antonie Griezman vikimuwinda mchezaji huyo, Simeone amesema hatomzuia mchezaji yoyote atakayetaka kuondoka Vicente Calderon.

Antonie Griezmann amekuwa akihusishwa na kutaka kuhamia Manchester United mwishoni mwa msimu huu, na mwenyewe amekuwa akizungumzia uwezekano wa kucheza pamoja na mchezaji mwenzie wa timu ya taifa ya Ufaransa katika ngazi ya klabu.

Taarifa kutoka Uingereza zinasema...

 

3 years ago

BBCSwahili

Simeone:Torres Mwanaume

Fernando Torres alifunga magoli mawili Atletico Madrid ilipokutana na Real Madrid

 

1 year ago

Mtanzania

Zidane na Simeone wakumbushia fainali ya UEFA

Zinedine ZidaneMadrid, Hispania

UPANDE mmoja Zinedine Zidane, mwingine Diego Pablo Simeone, hakuna zaidi ya kuzitaka pointi tatu  muhimu kwenye  mchezo wa Ligi Kuu Hispania, La Liga.

Mchezo huo wa watani wa jadi wa jiji la Madrid utazikutanisha timu ambazo moja ipo nafasi ya pili, nyingine ya tatu, huku ukiwakumbusha mashabiki wa timu hizo fainali ya Ligi ya  Mabingwa Ulaya uliochezwa mwaka 2013/14.

Makocha hao wanakutana huku kila mmoja akicheza aina tofauti na mwingine ambapo waliwahi kufanya hivyo kabla...

 

1 year ago

Mtanzania

Simeone afikiria kuongeza mkataba mpya

Diego SimeoneMADRID, HISPANIA

KOCHA wa klabu ya Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema baada ya kumaliza fainali ya Ligi ya Mabingwa sasa anafikiria kuongeza mkataba mpya katika klabu hiyo.

Simeone amesema amekuwa na miaka mitatu ya kuikumbuka katika klabu hiyo, hivyo baada ya kumalizika kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa anaweza kuzungumza na waajiri wake kwa ajili ya mkataba mpya.

“Tumemaliza Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa Ulaya, hapa sasa naweza kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu yangu kuona kama...

 

11 months ago

Mtanzania

Simeone kuwaleta Griezmann, Saul  England

diego-simeone-544554ADAM MKWEPU NA MITANDAO

HUENDA nia ya nyota wa timu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann na  Saul Niguez kutua ligi pendwa ya England ikafanikiwa iwapo kocha wao, Diego  Simeone, atashindwa kuongeza mkataba wa kuifundisha timu hiyo baada ya kumalizika mwaka 2018.

Simeone amepunguza mkataba wa kuifundisha timu hiyo hadi mwaka  2018  na kuna kila dalili ya kuihama ingawa bado suala hilo halijawa wazi.

Klabu ya Chelsea kwa muda mrefu wamekuwa wakimfuatilia kwa karibu Griezmann wakati...

 

2 years ago

Habarileo

Azan ajigamba kutekeleza ahadi

MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani