Simu aina ya Acer inafanya vizuri katika soko la simu linalokua kwa kasi duniani

Wakati kampuni kadhaa za simu za mkononi wakiwa katika mikakati kabambe ya kupanua biashara zao nchini India, lakini kwa Acer wapo katika mapumziko kidogo baada ya kazi kubwa na ndefu ya kutafuta masoko na kujijenga kibiashara.

Kampuni hiyo kutoka Taiwan wameamua kupumzika kwa muda katika soko la siku na kuweka nguvu kubwa kwenye kompyuta mpakato zake na bidhaa zingine za kieletroniki baada ya kazi kubwa ya miaka kadhaa, wamesema hayo mwishoni mwa wiki.

Mkakati huo umekuja baada ya nchini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Gulio la Simu lakuletea Simu halisi za gharama nafuu, Pia kutakuwepo simu za bure kwa ajili ya wateja

 Gulio la simu Expo litakalofanyika katika viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi na Jumapili wiki hii litawawezesha wateja wa Vodacom Tanzania na wananchi kwa ujumla kujipatia simu za uhakika zenye gharama nafuu ikiwemo simu za bure kwa wateja watakaonunua vifurushi vya aina mbalimbali vya muda wa maongezi na intanenti.Akiongea juu ya gulio hilo,Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia alisema kuwa lengo la gulio hili ni...

 

3 years ago

Bongo5

Rekodi ya kasi ya mtandao wa simu ya 4G yavunjwa, kampuni ya Elisa imepata kasi ya 1.9 GB kwa sekunde

Kampuni ya Finland Elisa inasema imefanikiwa kupata kasi ya Gigabait 1.9 kwa sekunde, ikisema hiyo ndio kasi ya juu zaidi kuwahi kupatikana.
4G

Huduma hiyo ya simu yenye kasi zaidi inaweza kupakua Filamu ya Blu Ray kwa muda wa sekunde 44.

Lakini wachanganuzi wana wasiwasi kwamba kasi hiyo inaweza kutumika moja kwa moja katika mtandao halisi ulimwenguni.

Elisa imesema kuwa imetumia teknolojia iliotolewa na kampuni ya China ya Huawei kutoa kasi ya upakuzi katika mtandao wa simu uliokaribia...

 

4 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

3 years ago

BBCSwahili

Rekodi ya kasi ya mtandao wa 4G katika simu yavunjwa

Kampuni ya Finland, Elisa inasema imefanikiwa kupata kasi ya Gigabait 1.9 kwa sekunde, ikisema hiyo ndio kasi ya juu zaidi kuwahi kupatikana.

 

4 years ago

GPL

MAPINDUZI YA SIMU ZA MKONONI KATIKA SOKO LA AFRIKA YA MASHARIKI

DAR ES SALAAM, Septemba 11, 2015 - Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi  na huduma za kipekee  zilizo na manufaa kwa jamii.  Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za  malipo kupitia...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuhamasisha wateja kuhusu simu bandia

Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza ofa mpya ambayo watumiaji wote wa simu ambazo ni bandia  watapata simu halisi kila  watakapotembelea duka la huduma kwa wateja la Tigo kubadilishwa simu hizo.

Mradi huu unalenga kuwawezesha Watanzania kupata simu halisi kutokana na ukomo wa matumizi ya simu  kwa wale walio na simu feki unafikia  mwisho wake.

Mwanzoni mwa mwaka huu, Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitangaza kuwa  simu zote bandia na ambazo sio za viwango...

 

3 months ago

Zanzibar 24

OmbaOmba: Janga linalokua kwa kasi kijiji cha Nungwi

Wamiliki  wa mahotel  kijiji cha Nungwi wamewataka wazazi na walezi  wanaoishi karibu na mahoteli kuwazuia watoto  na kuwakataza tabia ya kuomba omba watalii kwani hatua hiyo itaweza kuwasababishia kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. 

Wakizungumza kwa masikitiko makubwa baadhi ya wamiliki wa mahoteli hao ambao wamekataa kutajwa majina yao wamesema tabia ya kuomba omb pia ni chanzo cha udhalilishaji kwa watoto kwani wapo baadhi ya wageni hawatoi pesa zao bure. 

Wamesema wazazi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Huawei yanadi simu zake mpya na za kisasa kwenye gurio la simu (Simu Expo 2016)

kampuni nguli ya utengenezaji wa simu za mkononi kutoka China, Huawei imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha upatikanaji wa simu zilizo bora kwa Watanzania ambapo leo Jumamosi na kesho Jumapili wapo katika guri la simu (Simu Expo 2016) linalofanyika katika viwanja vya Posta, Kijitonyama kuanzia asubuhi hadi jioni ya saa 12.

Awali katika viwanja vya Posta, Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Huawei Device Tanzania, Bwana Sylvester Manyara amesema kuwa, katika banda lao hilo kuna simu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Simu aina ya Zuri C52 yaingia Tanzania kwa Kishindo

Hatimaye bidhaa za Zuri zatambulishwa Afrika Mashariki, ni miongoni mwa bidhaa nne ikiwamo simu aina ya Zuri C52, ya kupendeza, na yenye kasi ya ajabu na haipotezi mawimbi. Simu hizo husambazwa na kampuni ya DESPEC.

Simu aina ya C52 ina umbo jembaba la kipimo cha 8.4mm na wepesi wa 157gm tu, na kifuniko cha mpira kwa ajili ya kuilinda na kuifanya ionekane ya kuvutia, haijalishi unaitumiaje. Kioo ni kipana cha ukubwa wa 5.0 inch chenye kuonyesha rangi halisia kwa kila picha.Simu ya Zuri C52...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani