Sita wateuliwa kuwakutanisha CCM, CUF

Tanga. Asasi za kiraia mkoani Tanga zimeunda kamati ya wajumbe sita wasioegemea upande wowote, ambayo itaratibu mchakato utakaohakikisha madiwani wa CCM na CUF wanakubaliana kufanya vikao vya baraza kwa masilahi ya wapigakura wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

CCM yapitisha sita Eala, Mnyaa wa CUF apenya

Bunge jana limewachagua wabunge sita kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(Eala)

 

2 years ago

MwanaHALISI

Msiba CUF kuwakutanisha Maalim, Lipumba

ASHURA Mustafa, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) amefariki dunia leo asubuhi, anaandika Faki Sosi. Mjumbe huyo amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako imeelezwa alikuwa akisumbuliwa na upungufu wa damu na kwamba, taratibu za mazishi yake bado zinafanywa. Kwenye msiba huo, Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa katika Mikoa ya ...

 

2 years ago

Habarileo

Hamad Rashid, wengine sita wateuliwa Uwakilishi

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameteua wanasiasa saba kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwamo watatu waliowania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa marudio wa Machi 20, mwaka huu.

 

3 months ago

VOASwahili

Wanawake sita wateuliwa katika Baraza la Mawaziri Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekamilisha Ijumaa uteuzi wa baraza la mawaziri na wanasubiri kuidhinishwa na bunge la nchi hiyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Mutungi kuwakutanisha tena CCM, Ukawa

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa mkutano wa maridhiano kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wale wa Chama cha Mapinduzi (CCM), unaweza kuitishwa tena siku yoyote ili kurejea kwenye majadiliano yao

 

1 year ago

Michuzi

JUST IN: Maafisa sita wa Uhamiaji wapandishwa cheo kuwa Makamishna wa Uhamiaji, wateuliwa kushika nyadhifa mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha cheo Maafisa sita wa Uhamiaji kuwa Makamishna wa Uhamiaji kuanzia tarehe  28 mwezi Februari mwaka 2017, Wakati huo huo amewateua kushika  nyadhifa  mbalimbali katika Jeshi la Uhamiaji. 
Walioteuliwa kushika nyadhifa hizo ni Mrakibu wa Uhamiaji (SI) Edward Peter Chogero kuwa Kamishna wa Divisheni ya Fedha na Utawala, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji (SSI) Samwel Rhobby Magweiga kuwa Kamishna wa Divisheni ya...

 

4 years ago

Dewji Blog

27 wateuliwa kuwa makatibu wa CCM wilaya

3

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

4 years ago

Vijimambo

27 WATEULIWA KUWA MAKATIBU WAPYA WA CCM WILAYAKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

2 years ago

Mtanzania

CUF kupinga matokeo ya ubunge majimbo sita

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinatarajia kufungua kesi katika mahakama mbalimbali nchini kupinga matokeo ya majimbo sita katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari  Dar es Salaam jana, Ofisa wa Haki za Binadamu na Sheria wa CUF, Mohamed Mluya, aliyataja majimbo hayo kuwa ni   Lindi Mjini, Newala, Mtwara Vijijini, Pangani, Mbagala na Tabora Mjini ambayo uchaguzi wake uligubikwa na dosari mbalimbali.

Alisema...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani