SPIKA JOB NDUGAI APANGUA KAMATI ZA BUNGE

Spika Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Machi 12,2018 inasema Spika amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Ibara ya 96 ya Katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Taarifa hiyo imesema ibara hiyo imeweka wazi kwamba, Kanuni za Kudumu za Bunge zinafafanua muundo wa shughuli za Kamati za Bunge.

“Kwa msingi huo Kanuni ya 118 ya Kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 imeweka Kanuni za Kudumu za Bunge zenye muundo...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MwanaHALISI

Job Ndugai apangua Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Machi 12,2018 inasema Spika amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Ibara ya 96 ya Katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa ...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE ZA BAJETI NA NISHATI NA MADINI WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa muhtasari Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye ameongoza wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya Bajeti bandari ya Dar es salaam kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017Sehemu ya  makontena yenye shehena ya mchanga...

 

10 months ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo tarehe 15 Mei, 2018  Ofisini  kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE

 

3 years ago

Mwananchi

Ndugai apangua tena kamati za Bunge

Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya mabadiliko mengine ya kamati za Bunge kwa kuwahamisha wajumbe kadhaa kutoka kamati moja kwenda nyingine.

 

2 years ago

Michuzi

MHE SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA, SPIKA WA BUNGE LA SENETI

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika  pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya  Justin Muturi, Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe  Ekwee Ethuro na Jaji Mkuu wa Kenya Jaji David Maraga. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa...

 

3 years ago

Habarileo

Spika apangua tena Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amepangua tena Kamati za Kudumu za Bunge huku akiagiza Ofisi ya Katibu wa Bunge kuratibu uchaguzi wa kamati sita. Kwa mujibu wa Waraka Na 04/2016 wa Mabadiliko ya wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge uliotolewa jana hapa, Spika pia amefanya mabadiliko ya wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge.

 

3 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI

Ashinda kura kwa asilimia 70 Ndugu Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMJULIA HALI MKURUGENZI WA TEHAMA WA BUNGE

Daktari Bingwa Upasuaji wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu MOI, Nicephorus Rutabasibwa (kulia) akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai  (wa tatu kushoto) Dar es Salaam jana wakati alipofika kumjulia hali Mkurugenzi Msaidizi wa Tehama (ICT)  wa Bunge, Lily Mraba aliyelazwa katika Taasisi hiyo  Muuguzi Mwandamizi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Zaituni Bembe (kushoto) akiagana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai  Dar es Salaam...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani