SPIKA JOB NDUGAI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE ZA BAJETI NA NISHATI NA MADINI WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa muhtasari Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye ameongoza wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya Bajeti bandari ya Dar es salaam kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017Sehemu ya  makontena yenye shehena ya mchanga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAJUMBE KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI, MBUNGE WA SIMANJIRO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA WATEMBELEA MNADA WA PILI WA KIMATAIFA WA MADINI YA TANZANITE

Teresia Mhagama na Zuena Msuya, Arusha

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Mbunge wa Simanjiro, James Millya wametembelea Kituo cha Jimolojia Arusha, unapofanyika Mnada wa Pili wa Kimataifa kwa madini ya Tanzanite ili kujionea jinsi mnada husika unavyoendeshwa.

Mnada huo wa kimataifa unaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 9 hadi 12, Februari, 2017 unahudhuriwa na wanunuzi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi na...

 

3 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KINANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Septemba 24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka. 
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwongoza kutoka nje Spika wa Bunge Job Ndugai, baada ya mazungumzo yao, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es...

 

1 year ago

Malunde

SPIKA JOB NDUGAI APANGUA KAMATI ZA BUNGE

Spika Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Machi 12,2018 inasema Spika amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Ibara ya 96 ya Katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Taarifa hiyo imesema ibara hiyo imeweka wazi kwamba, Kanuni za Kudumu za Bunge zinafafanua muundo wa shughuli za Kamati za Bunge.

“Kwa msingi huo Kanuni ya 118 ya Kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 imeweka Kanuni za Kudumu za Bunge zenye muundo...

 

2 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI WATEMBELEA MIRADI YA NHC JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa taarifa ya shirika hilo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakati kamati hiyo ilipotembelea miradi ya shirika hilo iliyopo jijini Dar es salaam, Kamati hiyo imesifu kazi zinazofanywa na shirika hilo kutokana na kuendeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya kuuza na kupangisha.Wajumbe wa Kamti ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakitembelea mradi wa 711 unaotekelezwa na shirika hilo uliopo KaweMkurugenzi wa...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII.

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWAJULIA HALI SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI NA WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa furaha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth...

 

3 years ago

Dewji Blog

Spika Ndugai afanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo mwezi Januari 2016.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Ofisi ya Bunge Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano ambapo imeelezwa kuwa, mabadiliko hayo, yamefanywa chini ya Kanuni ya 116(3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge inayompa Spika Mamlaka ya kuteua...

 

3 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA CUF WAKIONGOZWA NA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD WAMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MHE. JOB NDUGAI NYUMBANI KWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Kulia) akiwaeleza jambo viongozi wa CUF walioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (Katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro waliomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo Agosti 13, 2016. Mhe. Spika, Job Ndugai amerejea nchini hivi karibuni akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya uchunguzi na matibabu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani