SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Egid Mubofu walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA NABII MWINGIRA NA WANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA MICHIGAN LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Jijini Dodoma, Prof. Emmanuel Mbennah (katikati) na mmoja ya Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Michigan kilichopo nchini Marekani walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Jijini Dodoma, Prof. Emmanuel Mbennah (katikati) na mmoja ya Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Michigan kilichopo...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA MKUU WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta (katikati) alieongozana na Dkt. Kadida Mashaushi (kulia) tarehe 17 Aprili, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidiwa zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta (katikati) alieongozana na Dkt. Kadida Mashaushi (kulia) tarehe 17 Aprili, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. 

 

4 years ago

Michuzi

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),Balozi Juma Mwapachu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko maalum wa Chuo Kikuu cha Dodoma,unatarajia kuzinduliwa rasmi kesho Novemba 8,2014 kwenye hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam,ambapo Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu tatu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Mh. Benjamin W. Mkapa.Dhumuni la Mfuko huo ni kuweza kukisaidia Chuo...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir NoorianSpika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (wa pili kulia), ugeni kutoka Bunge la Iran ulipomtembelea leo...

 

2 years ago

CCM Blog

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe...

 

12 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWL. MCHUNGAJI MWAKASEGE LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege (kulia) alipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Ndg. Diana Mwakasege (kulia) ambae ni mke wa Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwalimu Mchungaji Christopher MwakasegeSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mhe....

 

11 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. JAJI WARIOBA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu. Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba (kulia) alipowatembelea jana katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Katikati ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Jaji....

 

11 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi, mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Mwakilishi katika bara la Afrika wa Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi Ndg. Manfred Lyoto (wa kwanza kushoto) akimuelezea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai jinsi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani