SPIKA NDUGAI AWASHAURI VIJANA WAGOMBEE UDIWANI NA UBUNGE KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA

Spika wa Bunge la Tanzania mheshimiwa Job Ndugai amewataka vijana nchini kugombea nafasi mbalimabali  za uongozi ikiwemo udiwani na ubunge ili kutatua tatizo la kukosa ajira kutokana na kukosa uzoefu.
Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo, Mei 18, 2018 baada majibu ya Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Bunge, Jenista Mhagama, kutokana na swali la mbunge wa viti maalumu Zainab Katimba aliyetaka kujua mkakati wa Serikali katika kutatua tatizo la ajira kwa vijana wasomi wasikuwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Zanzibar 24

Spika Ndugai awaonesha fursa za ajira vijana

Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Job Ndugai amewataka vijana nchini kugombea nafasi mbalimabali  za uongozi ikiwemo udiwani na ubunge ili kutatua tatizo la kukosa ajira kutokana na kukosa uzoefu.

Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo, Mei 18, 2018 baada majibu ya Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Bunge, Jenista Mhagama, kutokana na swali la mbunge wa viti maalumu Zainab Katimba aliyetaka kujua mkakati wa Serikali katika kutatua tatizo la ajira kwa vijana wasomi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Spika Ndugai- Nyalandu hajatuthibitishia kujiuzulu nafasi ya ubunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesisitiza kuwa bado hajapata barua ya kumthibitishia kuwa mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kuwa amejiuzulu, hivyo anamtambua kiongozi huyo kuwa bado ni mbunge.

“Yaani haya mambo mie ninayasikia kwenu tu (waandishi wa habari) na kwenye vyombo vya habari. Sisi kama Bunge mpaka sasa hatuna rekodi yoyote ya Mheshimiwa Nyalandu kujiuzulu nafasi yake ya ubunge,” alisema spika Ndugai alipozungumza kwa njia ya simu...

 

1 year ago

Malunde

SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE


Spika wa bunge Job Ndugai amesema kutokana na ripoti nyingi za ufisadi kuwahusisha viongozi mbalimbali wa siasa wakiwemo wabunge waliowahi kuwa mawaziri, ipo haja ya kuandikia barua vyama vyao ili visiwapitishe kugombea.

Hayo ameyasema leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti mbili za bunge kwa Rais Magufuli.
"Vyama vya siasa vina nguvu sana ipo haja ya kuviandikia barua, kwa sababu wananchi hawana makosa kuwachagua kwa sababu hawajui" ,amesema Ndugai.

 

3 years ago

StarTV

ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira

Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.

Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.

Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Spika Job Ndugai amesema hana tatizo na chama chochote cha siasa nchini

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Job Ndugai amesema kuwa hana tatizo na Chama chochote cha siasa na linapofika jambo lolote mwenye kumbukumbu ya vyama vya siasa na katiba za vyama vya siasa na viongozi halali anaehusika ni msajili wa vyama vya siasa na sio yeye wala mtu mwingine yeyote yule.

Spika Ndugai ameyasema hayo alipokutana na waandishi wa habari ofisi za Bunge jijini Dar es salaam na kuzungumzia masuala kadha yanayohusu shughuli za bunge hilo na taifa kwa...

 

2 years ago

Channelten

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Job Ndugai amepokea barua ya kujiuzulu Ubunge

ndugai (1)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Job Ndugai amepokea barua ya kujiuzulu Ubunge iliyowasilishwa kwake na Dokta Abdallah Saleh Possi aliyeteuliwa kuwa Balozi katika kituo atakachopangiwa hapo baadae.

Taarifa ya Spika Ndugai ya kuwaarifu wabunge wote na wananchi kwa ujumla iliyotolewa jana imesema barua hiyo ya kujiuzulu Ubunge wa Dokta Possi imezingatia masharti ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 67(1) (g) ikisomwa pamoja na ibara ya 149...

 

3 years ago

GPL

MAKONDA AKUTANA NA VIJANA KUTATUA TATIZO LA AJIRA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na vijana wahitimu wa vyuo waliohudhuria mkutano huo. Makonda akionesha msisitizo wa jambo.    Vijana wahitimu wa vyuo…

 

3 years ago

BBCSwahili

Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Tatizo la ajira bado likionekana kuwakumba, na leo tunahoji fursa zilizopo zinaweza kutumika kupungunza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania?

 

2 years ago

Habarileo

DC kumaliza tatizo la ajira kwa vijana Kinondoni

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema amejipanga kuhakikisha anamaliza tatizo la ukosefu wa ajira katika wilaya hiyo hususani kwa vijana baada ya kuzindua kampeni ya mpango wa ujasiriamali katika wilaya hiyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani