Spika Ndugai: Hakuna anayejikagua mwenyewe

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema taarifa ya ukaguzi wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) tayari imeshawasilishwa Bungeni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MHE SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA, SPIKA WA BUNGE LA SENETI

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika  pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya  Justin Muturi, Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe  Ekwee Ethuro na Jaji Mkuu wa Kenya Jaji David Maraga. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA EALA, BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA.

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Inmi Patterson (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Inmi Patterson (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akikabidhiwa zawadi ya kitabu kutoka kwa Spika wa...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Iran Ndg. Zuhura Ally. (PICHA NA...

 

3 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI "AFUNGUKA" KUHUSU MVUTANO WA WABUNGE WA UPINZANI NA NAIBU SPIKA

Spika wa Bunge Jog NdugaiSPIKA wa Bunge, Job Ndugai asema bunge la Septemba atawaomba wabunge kujadiliana ili kuona wapi wanakosea ili “songombingo” iliyotokea bungeni iweze kumalizika.
Alisema anasikitishwa na bunge la sasa ambalo si moja limekuwa vipande vipande na kuelezea hali hiyo si dalili nzuri.
Spika Ndugai aliyasema hayo kwenye kipindi cha asubuhi cha Funguka, kinachopeperushwa na runinga ya Azam TV na kuongozwa na mtangaazaji Tido Mhando asubuhi Agosti 14, 2016.
Spika Ndugai ambaye...

 

5 years ago

Mwananchi

Hakuna mwaka mbaya, ubaya unao mwenyewe

Jamani naona mwaka unaisha huku kila mtu akisema lake. Aliyelia kalia na aliyecheka kacheka, lakini wale wa kulalamika pia tunao. Utasikia; Oooh, mwaka haukuwa mzuri kwangu.

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA SPIKA BUNGE WA BUNGE LA ISRAEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset) Mhe. Yuli Yole Edelsten wakati Mhe. Spika alipomtembelea Bungeni hapo. Mhe Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya Hija.(Picha na Ofisi ya Bunge).

 

4 years ago

Habarileo

Ndugai Spika wa Bunge la 11

MBUNGE wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Yustino Ndugai (55) ndiye Spika mpya wa Bunge atakayeongoza Bunge la 11 lililoanza mkutano wake wa kwanza jana. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichaguliwa kwa kishindo, akitwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wengine saba kutoka vyama vya siasa kwa kupata asilimia 70 ya kura zote zilizopigwa.

 

4 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI

Ashinda kura kwa asilimia 70 Ndugu Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani