SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII.

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – DODOMA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. William Lukuvi akisoma taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara katika mwaka wa fedha 2016/17 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/18 kwa kamati ya kudumu ya bunge ya ardhi, Maliasili na Utalii - Dodoma. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii; Mhe. Atashasta Ndetiye akiongoza majadiliano wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ilioshirikisha Kamati...

 

1 year ago

CCM Blog

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YALIDHISHWA NA AINA MPYA ZA UTALII ZILIZOANZISHWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

 Mbunge wa Mtama ambaye ni  Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape  Nnauye akiwa  kwenye  ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya shughuli ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati kamati hiyo ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
 Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi  (kulia) akiwa pamoja na Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la  Hifadhi za Taifa, Paschal Shelutete wakipatiwa maelezo kutoka kwa ...

 

3 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

Twiga watatu wakionesha mbwembwe zao mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Waheshimiwa Joseph Kasheku ‘Msukuma’ (kulia) na Shaban Shekilindi (Lushoto) wakiwa na fuvu la mnyama nyati walilolikuta hifadhini hapo na kupiga nalo picha na kisha kuliacha hapo hapo. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika picha ya pamoja mbele ya Ziwa Momela katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo...

 

11 months ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha  kubadilisha hati za kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi wa ILMIS, ambapo kwa sasa mtu ataweza kupata hati yake kupita mtandao na akihitaji karatasi atapata moja amabyo itakuwa na viambatanisho vyote. Msajili wa  Hati kutoka Wizara ya Ardhi, Joanitha Kazinja akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye...

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI JIJINI TANGA LEO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (wa tatu kulia) akiongoza wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, kutembelea Mapango ya Amboni Jijini Tanga leo. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Atashasta Ndetiye (wa pili kushoto), Wajumbe wa kamati hiyo, Nape Nnauye (kushoto) na Shaban Shekilindi (kulia). Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiangalia sehemu ya barabara iliyomeguka ndani ya eneo la...

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO LA PORI TENGEFU LA LOLIONDO.

Mwenyekii wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi ,Maliasii na Utalii,Atashasta Ndetiye (katikati) akiongozana na wajumbe wengine wa kamati hiyo kutizama vyanzo vya maji vilivyoko katika Pori Tengefu la Loliondo.Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu katika ziara ya kamati hiyo.Mtafiti Mkuu wa Idara ya Ikolojia (TAWIRI) Dkt Edward Khoi akitoa maelezo ya kitaalamu kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi,Malisili na Utalii wakati...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELELEA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO NA MAKUMBUSHO YA OLDUVAI GORGE

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri iliyofanya ya ujenzi wa jengo la makumbusho ya kisasa katika Bonde la Olduvai ya Gorge ambako ni chimbuko la historia ya Binadamu.
Kamati hiyo imesema imeridhishwa na ujenzi wa jengo hilo ambalo litawavutia watalii na wanasayansi wabobezi wa masuala ya Malikale kutembelea Makumbusho hiyo.
Kamati hiyo ilibainisha kuwa Makumbusho hiyo mbali ya kutumika kuingiza pesa...

 

2 years ago

Michuzi

MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta  Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote  inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne MaghembeMbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na...

 

3 years ago

Michuzi

MFUMO FUNGANISHI WA KIELEKTRONIKI KWA AJILI YA USIMAMIZI WA SEKTA YA ARDHI WATAMBULISHWA KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII

Mratibu wa Programu ya mfumo funganishi wa kielekroniki kwa ajili ya usimamizi wa sekta ya ardhi (Integrated Land Information System /ILMIS) Barney Laseko ametambulisha Mfumo huo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii – Dar es Salaam wakati wa uwasilishaji wa utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa mwaka 2015/2016 kwa kamati hiyo.
Akitoa ufafanuzi kuhusu ILMIS, Bwn. Laseko alisema mfumo una lengo la kuondoa changamoto za upatikanaji na utunzaji wa taarifa ili...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani