SPIKA WA BUNGE AFANYA MABADILIKO YA WAJUMBE KWENYE KAMATI ZA BUNGE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Spika Ndugai afanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo mwezi Januari 2016.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Ofisi ya Bunge Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano ambapo imeelezwa kuwa, mabadiliko hayo, yamefanywa chini ya Kanuni ya 116(3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge inayompa Spika Mamlaka ya kuteua...

 

3 years ago

Global Publishers

3 years ago

Habarileo

Spika afanya mabadiliko Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ukimwi

Spika wa Bunge Job Ndugai amefanya mabadiliko ya Wajumbe wote Ishirini na nne (24) wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI k wa kuunda upya kamati hiyo na kuteua wajumbe Wapya Kumi na sita (16) amba o pia watakuwa ni wajumbe katika kamati nyingine za Kudumu za Bunge.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ufafanuzi kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na Spika kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Bunge

Kufuatia Mabadiliko ya Wajumbe kwenye Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanywa na Mhe. Job Ndugai (Mb) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana tarehe 22 Machi, 2016; baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii imenukuliwa ikihusisha mabadiliko hayo kuwa yamefanywa kutokana na tuhuma za rushwa kwa baadhi ya Kamati za Bunge kufuatia ripoti ya chombo kimoja cha Habari. Soma ufafanuzi kwenye taarifa  iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi za Bunge hapa...

 

3 years ago

Michuzi

kikao cha wajumbe wa kamati ya kanuni ya bunge na Spika

 Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe akimueleza jambo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson kabla ya kuanza kwa kikao cha wajumbe wa kamati ya kanuni na Spika, Katika Ofisi za Bunge leo Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai (Katikati) akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson (kushoto) na  Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani