SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo tarehe 15 Mei, 2018  Ofisini  kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi na kamati ya Bajeti leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia kwake ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson

(PICHA NA OFISI YA BUNGE) 

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU SPIKA AONGOZA KIKAO KAMATI YA UONGOZI MJINI DODOMA.

 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo, kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.Mjumbe wa kamati ya uongozi, Mheshimiwa Mwanne Mchemba akizungumza wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo. kulia...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Wajumbe wa kikao cha uongozi  wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma​

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU WA BUNGE DKT. KASHILILAH AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA BUNGE LEO UKUMBI WA SPIKA MJINI DODOMA

 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akiongoza kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha kamati ya Uongozi baada ya kuundwa leo. Kamati hiyo inayoundwa na wenyeviti wa Kamati za Bunge Maalum wote 12  pamoja na mambo mengine inajukumu la kaundaa ratiba ya Bunge Maalum. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Maalum Yahya Khamis Hamad na aliyekaa kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Naibu Katibu wa Bunge Maalum Dkt. Thomas Kashililah akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa...

 

5 years ago

Michuzi

MH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad. Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba. Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum...

 

5 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani