Spika wa zamani TZ asema demokrasia ni tatizo na chanzo cha migogoro Afrika

Spika wa zamani wa Tanzania Pius Msekwa amesema huenda mambo yangelikuwa tofauti kama mifumo ya uchaguzi wa viongozi isingeingiliwa na kubaki kama ilivyokuwa zamani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Migogoro ni chanzo cha kudidimia kwa Uchumi wa Afrika


Benjamin Sawe -Maelezo
Dar es Salaam

Amani ni msingi wa maendeleo na hivyo ni muhimu kwa nchi yoyote duniani.Bila amani,nchi haiwezi kufanya shughuli za maendeleo hata pale ambapo maendeleo yameshapatikana,huweza kuvurugwa endapo amani itatoweke katika nchi.

Nchi ambazo kwa miaka ya hivi karibuni zimejitaidi kupiga hatua za maendeleo na zinaendelea kufanya jitiada kuhakikisha kuwa zinapiga hatua kubwa zaidi ya maendeleo kwa faida ya wananchi wote,jitiada hizo pia,kwa baadhi ya nchi...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa chanzo cha migogoro ya ardhi

WANASIASA wamebainika kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi inayotokea nchini na kusababisha vifo huku wengine wakibaki na ulemavu kama inavyojitokeza katika mgogoro wa Kiteto, mkoani Manyara. Mbali na hilo, serikali...

 

3 years ago

Habarileo

Migongano ya sheria chanzo cha migogoro

MIGONGANO ya Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya Mwaka 2009, Sheria ya Serikali za Mitaa, Tawala za Wilaya namba 7 ya Mwaka 1982 na Sheria ya Ardhi ya Vijiji ya Mwaka 1999, ni sababu mojawapo inayosababisha migogoro ya mara kwa mara wilayani Ngorongoro.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Wafugaji chanzo cha migogoro ya ardhi

WAFUGAJI katika wilaya ya Mvomero Mkoani hapa wametakiwa kufuata maelekezo wanayopewa na maofisa kilimo na mifugo juu ya ufugaji wa kisasa ili kupunguza migogoro ya ardhi, anaandika Christina Haule. Ombi hilo lilitolewa juzi na mshiriki wa mdahalo wa elimu shirikishi kwa Umma juu ya utatuzi migogoro ya ardhi Ramadhani Saidi iliyohusisha washiriki kutoka kata za ...

 

3 years ago

Habarileo

Ugawaji ardhi kinyume chanzo cha migogoro

UGAWAJI usiozingatia sheria ya ardhi umetajwa kuwa chanzo cha migogoro katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakimiliki ekari 3,000 hadi 5,000.

 

3 years ago

Habarileo

Chanzo cha migogoro ya ardhi Kilwa chaelezwa

KUKOSA uelewa juu ya Sheria ya Ardhi kwa jamii katika vijiji vya Kiranjeranje na Mandawa wilayani hapa, kumetajwa kusababisha migogoro ya mara kwa mara ya ardhi katika maeneo hayo.

 

4 years ago

Mtanzania

Shilole ataja chanzo cha migogoro na Nuh

shilole-na-nuhu-mziwandaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Migogoro, vurugu chanzo cha unyanyasaji wanawake

IMEFIKA wakati Tanzania kupitia Bunge kuridhia Azimio la Umoja wa Mataifa namba 1325 (UN Resolution 1325) ili kukomesha vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa kijinsia wanavyotendewa wananchi wasiokuwa na hatia,...

 

3 years ago

Mwananchi

Chanzo cha migogoro ya ardhi Pwani chatajwa

Chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji katika Mkoa wa Pwani kimeelezwa kuwa ni uwepo wa ziada ya ng' ombe 256,788 tofauti na uwezo wake.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani