ST Kids Swahili imefika hadi Makuburi Jeshini

StarTimes imeendelea kutembelea shule za msingi jijini Dar es Salaam, ikiwa ni katika kutambulisha maudhui ya chaneli mpya ya watoto, ST Kids ambayo yameingiziwa sauti za Kiswahili. 
Alhamisi hii walitembelea shule ya Msingi Makuburi Jeshini iliyoko Ubungo jijini Dar es Salaam ambapo wawakilishi wa StarTimes walikutana na kuzungumza na wanafunzi wa darasa la awali hadi darasa la nne kutoka shule hiyo.
Pamoja na kuzungumza na wanafunzi wawakilishi wa StarTimes walitoa zawadi kwa ya king’amuzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

TVNZ

'The kids LOVE this waiata' - Tanzanian school kids deliver powerful version of Maori song


'The kids LOVE this waiata' - Tanzanian school kids deliver powerful version of Maori song
TVNZ
Children at a school in Tanzania have performed their own stunning version of a Maori waiata. School children in Tanzania blow away crowd with Maori song 'E te Ariki'. 00:31. A Kiwi woman pulled out her phone and started recording when she noticed the ...

 

5 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima zahanati Makuburi

UHABA wa maji safi na salama uliokuwa unaikabili zahanati ya Makuburi, Wilaya ya Kinondoni umeelezwa ulikuwa unazorotesha huduma za afya katika zahanati hiyo. Changamoto hiyo ilielezwa mwishoni mwa wiki na...

 

3 years ago

Bongo5

New Video: Swahili Hip Hop Band – Swahili

Video ya ngoma ya Swahili Hip Hop Band iliyopewa jina ‘Swahili.’ Wimbo umetayarishwa na Innocent Mwijahuki huku video ikiongozwa na Kyonaboy Media Production.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

5 years ago

GPL

MWIMBAJI INJILI DEBORAH SAID AZIKWA MAKUBURI DAR

Nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakilia na kuomboleza.
Familia ya marehemu Deborah Said wakiwa na majonzi.…

 

3 years ago

Global Publishers

Dunia imefika mwisho

iiifffffffffffffffSayari ya Nibiru ikionekana kuikalibia Dunia kwa kasi.

Stori: Oscar Ndauka, UWAZI
DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua, Septemba Mosi, mwaka huu inazidi kuwapa hofu wanasayansi hao kuwa dunia imefikia ukingoni, Uwazi limechimba.

Kwa mujibu wa taarifa za kisayansi, sayari hiyo iliyogunduliwa mwaka 1982 na Taasisi...

 

5 years ago

Dewji Blog

TBL yakabidhi kisima cha maji zahanati ya Makuburi, Dar

Dkt one

Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwongozo, Dar es Salaam, Bw. James Ngoitanile (wa nne kushoto), akifurahia...

 

2 years ago

Michuzi

ZAIDI YA MILIONI 90 KUKARABATI SHULE ZA MSINGI KATA YA MAKUBURI-KUBENEA

 Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo unaotokana na mfuko wa jimbo na fedha za Halmashauri ambapo jumla ya fedha zaidi ya Milioni 88 zimetolewa na Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya ubungo na Milioni 17 Kutoka Mfuko wa Jimbo wa  mbunge huyo Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani