StarTimes yazindua msimu wa tatu wa uoneshwaji wa ligi ya Bundesliga 2017/2018


Na Agness Francis, Blogu ya jamii.
Kampuni ya  Startimes Tanzania imezindua uoneshaji wa ligi ya  Bundesliga  mwaka 2017/2018 ambayo itarushwa mubashara kupitia  vipindi vya startimes  kwa wapenzi wa soka hapa  nchini
Uzinduzi huo umefanyika  leo jijini Dar es Salaam lengo ni kuwa  kuwafahamisha wapenzi  wa mpira kununua ving’amuzi na   kujiunga na vifurushi  ili kuburudika na mechi hizo ambazo ligi hiyo itakuwa ikiionyeshwa moja kwa moja na startimes.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 kufikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 inafikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018 kwa timu zote 16 kuingia viwanjani kukamilisha raundi ya 30, ambayo ndiyo itakayokamilisha jumla ya mechi 240 za msimu huu.
Mechi hizo zitachezwa kama ifuatavyo;Lipuli vs Kagera Sugar- saa 10 kamiliTanzania Prisons vs Singida Utd- saa 10 kamiliNdanda vs Stand Utd- saa 10 kamiliMtibwa Sugar vs Mbeya City- saa 10 kamiliYanga vs Azam- saa 2 kamili usikuNjombe Mji vs Mwadui- saa 10 kamiliMbao vs Ruvu Shooting- saa 10...

 

2 years ago

Malunde

HII HAPA RATIBA YOTE YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA VODACOM 2017-2018

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka. 
Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.

AGOSTI 26, 2017
Ndanda Vs Azam -Nangwanda
Mwadui Vs Singida- Mwadui
Mtibwa Vs Stand – Manungu
Simba Vs Ruvu – Taifa
Kagera Vs Mbao -Kaitaba
Njombe Vs Prison- Sabasaba
Mbeya Vs Majimaji- Sokoine

 

3 years ago

TheCitizen

StarTimes gives more Bundesliga trips

Tanzanians have been urged to participate in the StarTimes’ Win a Trip to Germany promotion, dubbed ‘Pasua Anga na StarTimes’, a move that will enable them to watch Bundesliga matches Live in Germany.

 

4 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA STARTIMES YA ZINDUA BUNDESLIGA

 Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,  Leonard Thadeo akipiga mpira kuelekea golini kwa mlinda mlango,  Maulid Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kuashiria uzinduzi rasmi wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga itayorushwa moja kwa moja kupitia ving’amuzi vya StarTimes nchini. Wanaoshuhudia tukio hilo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wa kwanza kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo...

 

4 years ago

Habarileo

Uhondo Bundesliga kuanza leo Startimes

LIGI Kuu ya Ujerumani Bundesliga inaanza leo na kwa Tanzania itaonyeshwa moja kwa moja kupitia king’amuzi cha Startimes.

 

5 years ago

Michuzi

3 years ago

Michuzi

PROFESA KILLIAN WA CHUO CHA MKWAWA ASHINDA SAFARI KUTAZAMA BUNDESLIGA UJERUMANI NA STARTIMES

 Mtangazaji wa luninga na redio wa Clouds Media, Bw. Shaffih Dauda (katikati), ambaye pia ni balozi wa kampuni ya StarTimes Tanzania kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, akichezesha droo ya kwanza ya bahati nasibu ya kumpata mshindi wa safari ya kujishindia tiketi kutazama Ligi ya Bundesliga ‘Live’ Ujerumani iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo pamoja naye ni Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif...

 

2 years ago

Michuzi

DStv yazindua Msimu Mpya wa Soka, Ligi ya Uingereza kutangazwa kwa Kiswahili

Wakati vuguvugu la soka ulimwenguni likizidi kupanda, Kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia king’amuzi cha DStv imezindua kampeni maalum ya Msimu mpya wa Soka ijulikanayo kama ‘Full vyenga Bila Chenga’  ambapo watanzania kupitia DStv wataweza kushuhudia mubashara michuano mikubwa ya soka ulimwenguli inayotarajia kuanza hivi karibuni ikiwemo Ligi kuu ya Uingereza (PL) na ligi ya Hispania (La Liga) pamoja na makombe mengine maarufu Duniani.
Pazia la ligi kuu ya uingereza litafunguliwa...

 

2 years ago

Michuzi

LIGI KUU MSIMU WA 2016/2017,MIZENGWE ILIZIDI.

Na Honorius Mpangala.

Wakati kipenga cha ufunguzi wa kigi kikipigwa agosti 20 mwaka 2016 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga ilikua ni kitu kilichokua kikisubiliwa na wapenzi wengi kutokana na wadau kushuhudia usajili kabambe wa vilabu vyao.
Kuanza kwa ligi kuliweza kutoa harufu ya msisimko na ushindani katika msimu huo,mfano mechi ya kwanza kati ya Azam Fc dhidi ya African Lyon ilikua mechi ambayo iliwaduwaza sana mashabiki na benchi la ufundi la azam kutokana na shughuli...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani