Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua

Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole  na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.

"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" .

Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.

Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Amtumia Salamu za Pole Kufuatia Polisi 8 Waliouwawa

The post Rais Magufuli Amtumia Salamu za Pole Kufuatia Polisi 8 Waliouwawa appeared first on Global Publishers.

 

5 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amtumia salamu za pole Dkt. Shein kufuatia mlipuko wa bomu Zanzibar

Jakaya-Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein  kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu  katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014,  mjini Unguja.

‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amtumia salamu za pole Mkuu wa Mkoa wa Pwani kufuatia ajali iliyotokea leo

Rais wa Jamhuri wa Muungano amemtumia salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo kufuatia ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Kerege,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya msafata wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali ya mitaa kupata ajali na kusababisha vifo zaidi ya watu watano wakiwemo wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo. (Soma zaidi hapa chini..). ikulu

Taarifa ya Ikulu..

The post Rais Magufuli amtumia salamu za pole Mkuu wa Mkoa wa Pwani...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AMTUMIA SALAMU ZA POLE NA PONGEZI RC WA GEITA MEJA JENERALI MSTAAFU EZEKIEL KYUNGU KWA KAZI NZURI YA UOKOAJI WALIOFUKIWA MGODINI MKOANI GEITA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za pole na pongezi Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga kwa kazi nzuri na kubwa waliyoifanya ya kuwaokoa wachimbaji wadogo 15 waliofukiwa na maporomoko ya udongo kwenye Mgodi wa Dhahabu wa RZU uliopo katika Kijiji cha Nyarugusu, wilaya ya Geita katika mkoa wa Geita.


Tukio hilo la kufukiwa wachimbaji hao wadogo 15 wakiwemo Watanzania 14 na Raia Mmoja wa China lilitokea usiku wa...

 

5 years ago

Bongo5

New Music: Steve RnB — Pole Pole (Tropical Riddim)

Baada ya tour ndefu za nje ya nchi akiwa na bendi ya In Africa, mwimbaji wa RnB Tanzania, leo September 18th, 2014, ameachia single yake mpya inayoitwa ‘Pole Pole’ ambayo iko kwenye midundo ya Reggae (Tropical Riddim). Isikilize

 

3 years ago

Global Publishers

Rais JPM amtumia salamu za Rambirambi JK kwa kifo cha kaka yake

mzee Seleman Kikwete

Kaka wa Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, Mzee Selemani Mrisho Kikwete enzi za uhai wake.
Kaka wa JK

 

4 years ago

Tanzania Daima

JK atoa salamu za pole kwa wanahabari

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...

 

3 years ago

Michuzi

JK na mama Salma Kikwete wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa marehemu Leticia Nyerere

 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere leo Jumanne Januari 12, 2016
Mama Salma Kikwete akimfariji  Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani