SUGU KUTINGA BUNGENI KESHO JUMATATU

Siku 11 baada ya mbunge wa Mbeya, (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ kuachiwa huru, kesho Mei 21, 2018 ataingia bungeni.
Sugu ataingia bungeni kuwawakilisha wananchi wa Mbeya baada ya kulikosa bunge hilo la bajeti tangu lilipoanza Aprili mwaka huu.
Sugu amesema: “Nipo Dodoma tayari, nimekuja baada ya hali ya mama yangu kuendelea kuimarika na kesho (Mei 21,2018) nitaanza kuwawakilisha wana Mbeya walionituma.”

“Wana Mbeya walikosa mwakilishi, walikosa wa kuwasemea mambo yao, kwani...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

Serengeti Boys kutinga Bungeni Kesho

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi imeondoka leo kuelekea bungeni Dodoma, baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serengeti boys imepata mualiko huo baada ya kufanikiwa kufuzu ...

 

2 years ago

Mwananchi

Simba waalikwa bungeni kesho Jumatatu

Dodoma. Siku moja baada ya klabu ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho, imepata mwaliko bungeni.

 

1 year ago

Bongo Movies

Johari kutinga bungeni 2020

Blandina Chagula maarufu Johari mwanadada ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya maigizo na filamu nchini ameweka wazi kuwa ana mpango wa kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Johari ambaye kwasasa ni mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni ya filamu ya RJ huku yeye akiwa hashiriki sana kwenye filamu kwasasa kama muigizaji amefunguka kuwa muda ukifika ataeleza nia yake.

”Nina mpango wa kugombe Ubunge, nia ninayo ila ni vitu ambavyo vipo kwenye mchakato na vikiwa tayari nitaviweka wazi”,...

 

4 years ago

GPL

SHERIA YA MATUMIZI YA MTANDAO KUTINGA BUNGENI

Na Elvan Stambuli
‘SARAKASI’ za Mkutano wa 19 wa Bunge la 10 zitaanza leo mjini Dodoma na imeelezwa kuwa ni maalum kwa ajili ya kushughulikia miswada ya sheria ikiwemo Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Computer and Cyber Crimes Bill, 2015) na ya vyombo vya habari ambazo tayari zimetinga bungeni. Bunge la jamhuli ya muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa ya...

 

4 years ago

Mwananchi

Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27

Ripoti ya ufisadi katika akaunti ya Escrow itawasilishwa bungeni Novemba 27, mwaka huu na kujadiliwa baada ya Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia kwamba Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) inaweza kushughulikia suala hilo.

 

2 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys kutinga bungeni leo

Maandalizi ya timu ya Taifa ya vijana, Serengeti Boys kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika, Gabon yameanza kwa timu hiyo kuitwa bungeni leo.

 

2 years ago

Mwananchi

Lowassa kutinga uwanja wa Taifa kesho

Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kesho (Jumamosi) atakuwa miongoni mwa maelfu ya washabiki watakaoudhuria mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga itakayochezwa uwanja wa Taifa jijini hapa.

 

3 years ago

Habarileo

Nape: Muswada wa Habari kutinga bungeni hivi karibuni

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Muswada wa Sheria ya Habari uko mbioni kuwasilishwa bungeni. Akizungumza na wadau wa wizara yake kutoka mikoa ya Mbeya na Songwe kwenye mkutano uliofanyika jijini Mbeya, Nnauye alisema muswada huo ambao awali ulikumbana na vizingiti vingi yakiwemo malalamiko ya wamiliki wa vyombo vya habari, sasa uko katika hatua za mwisho kurejeshwa bungeni.

 

3 years ago

MillardAyo

Maalim Seif kutinga Mahakama ya ICC leo au kesho

ZIFF chief guest, 1st vice president, Maalim Seif Sharif at ZIFF 2013

Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amekuwa na ziara nje ya nchi tangu baada ya uchaguzi mkuu wa marudio Zanzibar March 2016 kuisha, Maalim Seif amekuwa akienda jumuiya za kimataifa kwa ajili ya kutafuta kile anachokiita haki kutokana na uchaguzi mkuu wa Zanzibar October 2015 kufutwa. Leo July 21 2016 […]

The post Maalim Seif kutinga Mahakama ya ICC leo au kesho appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani