SWITZERLAND YAAHIDI KUIMARISHA UHUSIANO WA KIMAENDELEO NA TANZANIA

Switzeland imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kusaidia Sekta mbalimbali za Maendeleo hasa katika suala la Afya, kuongeza ajira na kukuza ujuzi .
Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano Jijini Dodoma kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Isdor Mpango na Balozi wa Switzerland hapa nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, ulioangazia uhusiano kati ya nchi hizo mbili na namna ya kuboresha ushirikiano.
Katika Mkutano huo Waziri Mpango amemuomba Balozi huyo kuangalia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Norway yaahidi kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Tanzania

Screen Shot 2017-06-30 at 4.32.20 PM

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende amemhakikishia Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Norway itaendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania hususani kuboresha huduma za kijamii na uwekezaji katika miradi mikubwa ya maendeleo.

Bwana Borge Brende aliyeongozana na Balozi wa Norway hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad amesema hayo Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na RaisMagufuli.

Amempongeza Rais Magufuli kwa juhudi...

 

2 years ago

Michuzi

AfDB YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KIMAENDELEOWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (kulia), akipeana mkono na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), anayeshughulikia masuala ya Nishati na Mabadiliko ya Tabianchi, Bw. Amadou Hott, (kushoto) baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao kuhusu ahadi zilizotolewa na Benki hiyo katika kuchangia maendeleo ya Tanzania kwa njia ya ruzuku na mikopo yenye masharti nafuu, katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip...

 

4 years ago

Mtanzania

Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano

Sauli_NiinistöNa Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.

Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...

 

4 years ago

Habarileo

India kuimarisha uhusiano na Tanzania

Debnath ShawBALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

3 years ago

Mtanzania

Tanzania yatakiwa kuimarisha uhusiano

minjaNa Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

SERIKALI imetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kibishara baina ya nchi tano ambazo zinategemea bandari ya Tanzaia ili kukuza uchumi wa Taifa.

Mbali na hilo, Serikali imetakiwa kutengeneza mfumo wa hiari katika ulipaji kodi za ndani ili kuhakikisha  hakuna watu wanaokwepa kodi.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Jonson Minja alisema ni vyema Serikali ikatengeneze mazingira mazuri ya...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUIMARISHA MIUNDOMBINUNa Ismail Ngayonga- MAELEZO
SERIKALI ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la nchi hiyo (JICA) imesema itaendelea kuisadia miradi mikubwa ya maendeleo nchini ikiwemo barabara ili kuhakikisha kuwa Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Hayo yamesemwa mwishoni wa wiki Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida wakati wa utoaji tuzo ya heshima ya Rais wa JICA kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD), Mhandisi...

 

2 years ago

Mwananchi

Tanzania inahitaji kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kimataifa

Ni muhimu kufuatilia mwenendo wa biashara baina ya Tanzania na nchi nyinginezo duniani, kwasababu matokeo yake yana athari katika thamani ya shilingi, mfumuko wa bei na viwango vya riba katika soko la fedha nchini.

 

1 year ago

VOASwahili

Viongozi Tanzania waahidi kuimarisha uhusiano na China

Viongozi mbalimbali nchini Tanzania wameungana pamoja kupongeza hatua zinazoendelea kuchukuliwa katika kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na China.

 

2 years ago

RFI

Wakuu wa nchi ya Kenya na Tanzania wakubaliana kuimarisha uhusiano wao

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya, ambapo amekutana kwa mazungumzo na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta, ambapo wakuu hawa wa nchi wametiliana saini makubaliano kadhaa ya ushirikiano.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani