Taarifa ghushi zinatuathiri watu maarufu

Taarifa ghushi kuhusu vifo, familia, mapenzi na kazi zimeathiri maisha ya watu wengi maarufu duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Watu maarufu waanikwa mitandaoni ulaya

Watu maarufu huko barani ulaya picha zao zaanikwa mitandaoni

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya kupambana na wafanyakazi ghushi

Serikali itaanza kuwasajili wafanyakazi wa umma kwa njia ya kielektroniki ili kukabiliana na tatizo la wafanyakazi bandia

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mbunifu wa mavazi ya watu maarufu aliyejiua kwa madeni

MBUNIFU wa mitindo na mwanamitindo maarufu wa Marekani, L’Wren Scott, alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi jijini Manhattan, New York, inasema Laura ‘Luann’...

 

3 years ago

BBCSwahili

Ashtakiwa kwa kuiba picha za utupu za watu maarufu

Mtu mmoja ameshtakiwa kwa kudukua akaunti za kampuni ya Apple icloud na akaunti za Gmail za watu maarufu pamoja na kuiba picha na kanda zao za utupu.

 

3 years ago

BBCSwahili

Marcel Lazar, mdukuzi wa watu maarufu adakwa Marekani

Mahakama moja nchini Marekani imemfunga jela raia moja mwenye asili ya nchini Romania kwa kosa la udukuzi mtandaoni kwa watu wenye hadhi za juu nchini humo ikiwemo familia ya Bush.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Mdukuzi wa mambo binafsi ya watu maarufu adakwa Marekani

Mahakama moja nchini Marekani imemfunga jela raia moja mwenye asili ya nchini Romania kwa kosa la udukuzi mtandaoni kwa watu wenye hadhi za juu nchini humo ikiwemo familia ya Bush.

Marcel Lazar, alikuwa akitumia mfumo wa “Guccifer”, kutekeleza udukuzi huo, amefungwa jela kwa muda wa miezi hamsini na mbili. Mwendesha mashtaka alisema Marcel aliidukua akaunti ya barua pepe ya Familia ya Bush naku baini picha binafsi zenye kushikamana na marais wa zamani, George H.W.Bush na George W....

 

2 years ago

MillardAyo

Walichoandika watu maarufu TZ kuhusu ajali iliyoua 32 leo

Baada ya ajali iliyoua watu 32 Arusha wakiwemo watoto 29 wa shule ya msingi Lucky Vicent leo May 6, 2017, watu mbalimbali maarufu wameoneshwa kuguswa na taarifa hizo na kuandika hisia zao kupitia mitandao ya kijamii. Nimesikitishwa na vifo zaidi ya 31 vilivyosababishwa na ajali mbaya iliyotokea Karatu.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema. — Tundu […]

The post Walichoandika watu maarufu TZ kuhusu ajali iliyoua 32 leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo Movies

Makala: Watu 7 Maarufu Waliozungumza Kuhusu Diamond na Alikiba

Kipindi hiki cha utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli, unapotaka kuzungumzia muziki wa wa Bongo Flava ni vigumu kuepuka kutaja la Diamond Platnumz na Alikiba.

Muziki wao, ushindani na maneno ya hapa na pale yanatoa picha halisi ya game ya muziki huo ilivyo kwa sasa. Kutokana na uzito wa majina yao na kile kinachoripotiwa kuwa hawapatani (beef) si ajabau kusiki watu maarufu wakiwazungumzia. Makala haya fupi yanakuletea watu maarufu waliozungumza chochote...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani