TAARIFA KWA UMMA (AZIMIO NA. 69/246 LA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA 

 

  Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (United Nations) Mhe. Ban Ki-moon tarehe 16 Machi, 2015 alimteua Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuwa Mwenyekiti wa jopo huru la wataalamu wa kutafuta ukweli zaidi juu ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Hayati Dag Hammarskjöld, kifo hicho kilichotokea kwenye ajali ya kusikitisha ya ndege mnamo tarehe 17-18 Septemba, 1961 maeneo ya Ndola,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Matumizi ya Silaha za Nyuklia Baraza la usalama la umoja wa mataifa launga mkono azimio la zuio

_88552116_88538743

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono azimio lenye lengo la kuizuia Korea Kaskazini kutumia silaha za nyuklia.

Maafisa wamesema azimio hilo limepitishwa kwa kauli moja, kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini, ambavyo ni vikali zaidi kuwahi kuwekwa dhidi ya nchi hiyo katika kipindi cha miongo miwili.

Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya biashara ya silaha ndogo ndogo na bidhaa za kifahari  ambapo vimewekwa baada ya nchi hiyo kurusha roketi la masafa marefu mwezi...

 

4 years ago

Michuzi

MKUTANO NO. 69 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA WAMALIZIKA KWA KISHINDO


Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa akigonga nyundo maalum kuashiria kukamilika kwa Mikutano ya Baraza hilo ambalo ameliongoza kwa mwaka  mzima. Kushoto kwake  ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa mwenye furaha wakati wa kuhitimishwa  Baraza la 69 ambapo alimpongeza Bw. Sam Kutesa kwa kuliongoza  Baraza kwa uhodari  uliopelekea kupitishwa kwa maazimio mbalimbali.Na Mwandishi Maaalum New YorkMkutano wa  69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ...

 

3 years ago

Michuzi

BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LAIJADILI BURUNDIMatthew Rycroft, Mwakilishi wa Kudumu wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa,  kwa mwezi  Novemba, akizungumza na waandishi wa habari   hawapo pichani, mara baada ya  Baraza Kuu la Usalama kumaliza kikao chake kilichojadili hali ya  Burundi, kikao ambacho pia kilipitisha azimio ambalo pamoja na mambo mengine linamuunga mkono  Rais wa Uganda  Yoweri Museven ambaye aliteuliwa na  Viongozi  wenzie wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki kuwa msimamizi...

 

3 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA MKUTANO WA 71 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York
Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali, kutoka mataifa mbalimbali duniani kwa takribani wiki nzima iliyopita wameendelea kuelezea vipaumbele vya nchi zao mbele ya wajumbe wanaohudhuria Baraza Kuu la 71 la UMoja wa Mataifa.
Mambo makubwa ambayo karibu kila kiongozi ameyagusia katika hotuba yake ni pamoja na tatizo la kuongezeka kwa matukio ya ugaidi, tatizo la wakimbizi na wahamiaji, vita na machafuko vinavyoendelea katika nchi kadhaa, ubaguzi kwa misingi ya dini...

 

3 years ago

CCM Blog

4 years ago

Michuzi

Balozi Manongi aiongoza Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Balozi Tuvako Manongi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akimkaribisha Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa ( wa kwanza kushoto) kuzungumza na wajumbe wa Kamati hiyo ya Sita ambayo jukumu lake ni kuratibu na kuendesha mijadala yote inayohusu masuala ya sheria. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa kipindi cha mwaka moja. Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekuwa akitembelea na...

 

4 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI

Kifaru ni baadhi ya wanyamapori wanaotoweka kwa kasi duniani na hususani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na vitendo vya ujangili na biashara haramu za pembe zao. Jana Alhamisi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja Azimio linalolenga kudhibiti Biashara haramu ya wanyama pori na maliasili nyingine
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...

 

1 year ago

Channelten

Matumizi ya makombora ya Nyuklia,Baraza kuu la Usalama la umoja wa mataifa kukutana kikao cha dharula

37848954_401

Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kurusha kombora la masafa marefu la ICBM lililoruka juu zaidi na kupongeza jaribio lake hilo.

Wakati huo huo Marekani kupitia Waziri wake wa Ulinzi James Mattis imesema Korea Kaskazini inaendelea kurusha makombora yanaoonekana kuhatarisha usalama duniani.

James Mattis amesema kuwa kombora hilo liliruka juu ikilinganishwa na kombora jingine lolote lile hapo awali.

Kwa mujibu wa maafisa wa jeshi la Korea Kaskazini, kombora hilo liliruka kwa urefu wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani