TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAKALA ILIYOTOLEWA NA GAZETI LA MWANANCHI


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jibu kwa Kinana juu ya makala yake kwa gazeti la The Hill

Tanzania cannot be allowed to be the new front for state-led Islamophobia Posted on October 2, 2015 by Nathalie Arnold Koenings The ruling CCM party has a record of dismissing opposition in Zanzibar as “Islamist”. With […]

The post Jibu kwa Kinana juu ya makala yake kwa gazeti la The Hill appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUFANYIWA KAZI HOJA ZA MWANANCHI ALIYELALAMIKA KWA RAIS

Katika gazeti la Mwananchi toleo la Desemba 16 mwaka huu, ukurasa wa 11, kulichapishwa barua ya Afisa Mifugo mstaafu wilayani  Mpwapwa, Dododma, Bw. Edward Chedego Uledi. Katika barua yake iliyosomeka “Rais Magufuli nisaidie nilipwe stahiki zangu,” mstaafu huyo alilalamikia kupunjwa mafao yake.


Mtumishi huyo aliyestaafu tangu 2008, alilalamikia kitendo cha maafisa utumishi   kuchelewa kurekebisha taarifa zake kwa kuzingatia cheo chake cha mwisho na hivyo kusababisha apunjwe mafao na akalipwa...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA - UPOTOSHWAJI WA GAZETI LA NIPASHE

Ofisi ya Bunge imebaini upotoshwaji mkubwa Katika habari iliyochapishwa na Gazeti la Nipashe toleo la leo Aprili 16, 2016 yenye kichwa cha habari kisemacho “ Bunge sasa laufyata mkataba wa Lugumi”. Habari hiyo imeandikwa kufuatia ufafanuzi uliotolewa na Bunge jana kuhusu maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) dhidi ya utekelezaji wa mkataba wa Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd  kuhusu mradi wa utambuzi wa alama za vidole (AFIS) (Automated Fingerprint...

 

3 years ago

Dewji Blog

IKULU yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi inayodai “Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka”

Untitled

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara...

 

1 year ago

Michuzi

TIC YAKANUSHA TAARIFA YA ILIYOTOLEWA NA GAZETI YA FINANCIAL TIMES KUWA SERA ZA UWEKEZAJI TANZANIA ZINAKIMBIZA WAWEKEZAJI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Ndg. Geoffrey Mwambe amesema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwandishi wa FT. John Aglionby kuhusu mazingira ya Uwekezaji Tanzania kuwa yanatishia wawekezaji si sahihi na yanalenga kupotosha ukweli kuhusu hali halisi kuhusu Uwekezaji Tanzania.
Mwandishi huyo wa Financial Times ametoa maelezo ambayo amesema yametolewa na Muwekezaji Aliko Dangote maelezo ambayo yamelenga kusukuma Agenda yake ambayo haijulikani na yenye lengo la kupotosha sera...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mahakama ya Tanzania yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi

Mahakama ya Tanzania imetoa taarifa ya kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya habari iliyoandikwa na gazeti la kila siku la Mwananchi toleo la Jumanne, Julai 12, 2016. Gazeti hilo lilichapisha habari ambayo Mwandishi wa habari hiyo alimnukuu Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Katarina Revokati akiwataka watendaji wa mahakama nchini kujenga utamaduni wa kuwajibika na kutoruhusu uhuru wa mahakama kuingiliwa na watu kutoka nje ya Mahakama.

Kutokana na habari hiyo, Mahakama ya Tanzania...

 

3 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA UPOTOSHAJI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII JUU YA MSHINDI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2016

  Hivi karibuni kumeibuka upotoshaji mkubwa kutoka kwa baadhi ya watu wenye nia ovu ya kutaka kuharibu taswira nzima ya Mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016,aliyevishwa taji hilo jana usiku ndani ya jiji la Mwanza,taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika mitandao ya kijamii zikieleza upotoshaji wa taarifa mbalimbali za mlimbwende huyo zikiwemo na elimu yake.

SEHEMU YA TAARIFA ILIYOKUWA IKIPOTOSHWA KATIKA MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII HII HAPA CHINI;
MISS TANZANIA...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Tanesco yakanusha taarifa iliyo andikwa na gazeti la Mwananchi la juni 15, 2017

 

The post Tanesco yakanusha taarifa iliyo andikwa na gazeti la Mwananchi la juni 15, 2017 appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani