TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KULIJENGEA UWEZO BUNGEMichuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai. Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua awamu ya...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

TAARIFA KWA UMMA RATIBA YA UZIMAJI  WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya Serikali kujiridhisha na matokeo ya tathmini ya uzimaji wa mitambo ya utangazaji ya analojia awamu ya kwanza kwenye...

 

2 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUONGEZA SIFA ZA KUAJIRIKA KUPITIA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (EEVT) KWA MIKOA YA MTWARA NA LINDI.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mheshimiwa Mhandisi Stella Manyanya (wa tatu kutoka kushoto) akikata keki maalum kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Kuongeza Sifa za Kuajirika Kupitia Mafunzo ya Ufundi Stadi (EEVT)kwa mikoa ya Mtwara na Lindi. Uzinduzi huo ulifanywa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mhandisi Manyanya, Jumanne, 27 Septemba, 2016 katika chuo cha VETA Mtwara. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mheshimiwa Mhandisi Stella Manyanya (wa tatu kutoka kushoto) akikata keki maalum...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA DART.

Kuna upotoshaji wa Makusudi uliozagaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Mabasi Yaliyozinduliwa Tarehe 17/08/2015  kuwa.

1. Ati ni ya Kichina

2. Milango ya kushukia na kupandia Abiria Iko kushoto hivyo hayaendani na Miundombinu iliyojengwa.

HUO NI UZUSHI WENYE LENGO LA KUWAPOTOSHA WATANZANI WALIOCHOSHWA NA MSONGAMANO UNAOONGEZEKA SIKU HADI SIKU

TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA HII HAPA:

1. Kiwanda Kilicho Assemble (Kuunganisha) Mabasi haya kinaitwa Golden Dragon cha China.

2. Aina ya...

 

1 year ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA UMMA -KUHUSU MSIMAMO WETU JUU YA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA RAIS YA “MAKANIKIA”.​

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA -KUHUSU MSIMAMO WETU JUU YA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA RAIS YA “MAKANIKIA”.​ Ndugu wanahabari,Tumeomba kukutana nanyi katika mkutano huu kwa ajili ya masuala mawili juu ya mjadala wa ufisadi katika sekta ya madini na upotevu wa rasilimali zetu, hasa baada ya kuwasilishwa kwa ripoti mbili za Tume zilizoundwa na Rais

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani