TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUANZA KWA VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE TAREHE 15 HADI 27 JANUARI, 2018, MJINI DODOMA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

3 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU VIKAO VYA TATHMINI NA UCHAMBUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU VIKAO VYA TATHMINI NA UCHAMBUZI Katika utaratibu wake wa kujipanga na kuendelea kutekeleza mikakati na malengo ya muda mfupi na muda mrefu kwa ajili ya kufikia lengo kuu la kushinda uchaguzi, kushika dola na kuongoza serikali kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa na utamaduni wa kuwa na vikao vya

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MABADILIKO YA MUUNDO WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE

____________________

Kamati ya Kanuni ya Bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai hivi karibuni, leo imekutana Jijini Dar es Salaam na Kuridhia mapendekezo ya mabadiliko katika muundo wa kamati za Bunge yaliyowasilishwa na Mhe. Spika ili kuendana na mabadiliko ya Muundo wa Wizara katika Serikali ya awamu ya Tano.


Mabadiliko hayo ambayo yamefanywa chini ya kanuni ya 155 (3) ya kanuni za Kudumu za Bunge yamezingatia madaraka aliyonayo Spika kufanya...

 

3 years ago

Michuzi

RATIBA YA MKUTANO WA WABUNGE WOTE PAMOJA NA VIKAO VYA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE TAREHE 20 JANUARI – 25 JANUARI, 2016

Ofisi ya Bunge inapenda kuwafahamisha Waheshimiwa Wabunge na Wananchi kwa ujumla kuwa, uteuzi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge utafanyika kesho Alhamisi tarehe 21 Januari, 2016, na kufuatiwa na Uchaguzi wa Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati husika pamoja na Kamati kupatiwa maelezo juu ya Wajibu, kazi na Mipaka ya kazi ya Kamati na kupokea na kujadili Mpango kazi wa Kamati unaoishia Juni, 2016.
Kwa kuzingatia Kanuni ya 111 ya Kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013 siku...

 

1 year ago

Malunde

VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA JUMATATU JANUARI 15

Taarifa kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaeleza kuwa Vikao vya Kamati za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu tarehe 15 hadi 27 January, 2018 Mjini Dodoma, hii ikiwa ni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi wa Bunge.


Shughuli ambazo zimepangwa kutekelezwa katika kipindi cha vikao hivi ni pamoja na ziara za ufuatiliaji, uchambuzi wa miswada mbalimbali na kupokea maoni ya wadau, na kupokea taarifa za utendaji za wizara.

Kamati tatu za kisekta ambazo zitakuwa na jukumu la uchambuzi...

 

4 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 13/12/2014

Kama mnavyofahamu kesho tarehe 14/12/2014 ni siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ni uchaguzi muhimu sana kwani ndiyo uchaguzi unaowaweka madarakani viongozi ambao wapo karibu zaidi na wananchi.
Nataka kuwahakikishia wananchi wote wa mkoa wa Dodoma kwamba Polisi tumejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kusimamia usalama siku hiyo. Hivyo wananchi wajitokeze kupiga kura na wala wasiwe na hofu kwani ulinzi utaimarishwa katika vituo vyote vya kupigia kura na maeneo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani