TAARIFA MPYA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA - TMA

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya mvua katika maeneo mengi ya nchi itapungua kuanzia usiku wa leo Aprili 21, 2018.
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana imesema maeneo mengi ya nchi yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Pia, TMA imesema maeneo mengine ya mikoa yatakuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
“Matazamio kwa siku ya Jumatatu Aprili 23, 2018, mvua inatarajiwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

4 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)- “Kipindi cha Juni-Agosti kuwa na hali ya baridi”

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu. Akizungumzia utabiri huo kwa mbo vya Habari mapema leo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na mwelekeo huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Bw. Samwel Mbuya alisema  Tanzania inatarajia kuwa na hali ya baridi na vipindi vya mvua kwa maeneo machache ya nchi.

“Nchi yetu inatarajia kuwa na hali ya baridi kiasi katika kipindi hiki sambamba na...

 

3 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2016.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu. Akizungumzia kuhusiana na mwelekeo huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Bw. Samwel Mbuya alisema “Nchi yetu inatarajia kuwa na hali ya baridi kiasi katika kipindi hiki sambamba na vipindi vifupi vya mvua vinavyotarajiwa kujitokeza katika maeneo machache hususanya ukanda wa Ziwa Viktoria na ukanda wa pwani ya Kaskazini (Visiwa vya Unguja na...

 

9 months ago

Malunde

MAMLAKA YA HALI HEWA - TMA YATOA TAHADHARI MPYA...MVUA KUBWA KUNYESHA

Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali unaozidi km 40 kwa saa katika maeneo yote ya Pwani kuanzia saa 24 zijazo kutoka sasa.
Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo jioni ya leo (Jumatatu) na kudai kutakuwepo vipindi vya mvua kubwa katika saa 24 ambavyo vinatarajiwa katika maeneo ya mkoa wa Morogoro, Dar es Salaam, Pwani, Tanga Lindi,...

 

10 months ago

Malunde

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) YATAHADHARISHA MVUA KUBWA MIKOA 11

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kuendelea katika maeneo ya mikoa 11 nchini.

TMA imetaja mikoa itakayoathirika na mvua hizo ni Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara, Morogoro, Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Taarifa iliyotolewa leo na mamlaka hiyo inabainisha kuwa kuanzia leo Machi 12 hadi 13 ,2018 kunatarajiwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24.

“Hali hii inatokana na kuendelea kuimarika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani