Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi haelewi jinsi thamani za hisa na kampuni zinavyo kokotolewa. Kwa mfano, mwandishi anadai kuwa ukweli kwamba bei ya toleo ya hisa za VTL ya TZS 850, sawa na mara 3.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali kujitoa dhima, ni ushahidi kuwa bei imewekwa ya juu sana. Lakini siku hiyo hiyo, bei ya hisa za Safaricom katika siko la hisa la Nairobi ilikuwa ni mara 5.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali baada ya kutoa dhima.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. 
Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. 
Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi...

 

3 years ago

GPL

TAARIFA YA MKURUENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA KUHUSU KUKOSEKANA KWA HUDUMA‏

Managing Director, Rene Meza. Dear Esteemed Customer,
We sincerely apologize for not being able to provide services to you, our esteemed customers and the public in general on the evening of February 4, 2015. This was due to a technical failure on one of the features on our network. As a result of this you were unable to make voice calls, use the internet and do money transfers. We understand the inconvenience that this outage...

 

1 year ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yapeleka maombi ya kujiunga na Soko la Hisa (DSE)

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na kujiunga kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwa ni utekelezaji wa sheria ya  Elektroniki na Mawasiliano ya Posta (EPOCA) na sheria ya Fedha ya mwaka 2016 ambayo inaelekeza makampuni ya simu  kumilikisha  asilimia 25 ya hisa zake kwa wananchi kwa kujiunga na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
Akizungumzia  hatua hiyo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Bwana Ian...

 

1 year ago

MillardAyo

Vodacom Tanzania kuwa Kampuni ya kwanza kujiunga na Soko la Hisa (DSE)

vd28ii

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na kujiunga kwenye   Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwa ni utekelezaji wa sheria ya Elektroniki na Mawasiliano ya Posta (EPOCA) na sheria ya Fedha ya mwaka 2016 ambayo inaelekeza makampuni ya simu kumilikisha asilimia 25 ya hisa zake kwa wananchi […]

The post Vodacom Tanzania kuwa Kampuni ya kwanza kujiunga na Soko la Hisa (DSE) appeared first on...

 

1 year ago

Michuzi

WABUNGE MJINI DODOMA WAHAMASIKA KUNUNUA HISA ZA VODACOM TANZANIA PLC

 Mkurugenzi Mtendaji  Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao,akitoa semina kwa wabunge kuhusu uuzaji wa hisa za kampuni hiyo, bungeni Dodoma  Mkurugenzi Mtendaji  Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao, akiendelea kutoa semina kwa wabunge  Mkurugenzi  mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tamisemi  kuhusu umuhimu wa kununua hisa za kampuni hiyo, mjini Dodoma
 Mkurugenzi  mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi...

 

1 year ago

Bongo5

Sasa ni rasmi Vodacom Tanzania kuanza kuuza hisa zake kwa wawekezaji

Kampuni ya simu za mkononi nchini Vodacom Tanzania itakuwa kampuni ya kwanza inayotoa huduma za mawasiliano kuuza hisa zake katika soko la hisa la Dar es Salaam maarufu kama “DSE”.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Ian Ferrao

Hii inafuatia rasimu ya waraka wa matarajio (Prospectus) na maombi yaliyotumwa kwenye Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kukubaliwa. CMSA ndiyo mamlaka inayosimamia masoko ya mitaji na dhamana nchini.

Uuzaji wa hisa za awali wa Vodacom...

 

1 year ago

Michuzi

makala ya sheria: MAKAMPUNI YA SIMU YANAUZA HISA, JE UNAJUA LOLOTE KUHUSU HISA ?.

Na  Bashir  YakubNi  kipindi  muhimu  kujua  kuhusu  hisa. Hivi  karibuni  utakuwa  umesikia  makampuni  mbalimbali  hasa  yale  ya  simu  yakiwatangazia  watu  kununua  hisa.  Ni muhimu  kwako  kujua  kuhusu  biashara  hii.  Huenda  ikawa  ya  faida  kwako   au eneo  zuri   kwako  kwa  kuwekeza.

Mapema  niseme  kuwa  usiogope wala usiwe  mwenye  hofu. Biashara  ya  hisa  ni  ya  watu  wote tajiri  au  maskini.  Laki  moja,  laki mbili  nk.  unaweza  kununua  hisa.  Ili umiliki  hisa kwenye...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani