TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. 
Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. 
Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi haelewi jinsi thamani za hisa na kampuni zinavyo kokotolewa. 
Kwa mfano, mwandishi anadai kuwa ukweli kwamba bei ya toleo ya hisa za VTL ya TZS 850, sawa na mara 3.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali kujitoa dhima, ni ushahidi kuwa bei imewekwa ya juu sana. Lakini siku hiyo hiyo, bei ya hisa za Safaricom katika soko la hisa la Nairobi ilikuwa ni mara 5.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali baada ya kutoa dhoma.
Hivyo kampuni yetu imeona ilitolee ufafanuzi jambo hilo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Bongo5

Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi...

 

1 month ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA VODACOM TANZANIA

Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC imetoa ufafanuzi kuhusiana na suala la kesi iliyofunguliwa na Moto Matiko Mabanga dhidi ya Vodacom Group Limited , Vodacom Tanzania PLC  ("VCT"); Vodacom International Limited  ("VIL"), na Vodacom Congo s.p.r.l ("VDRC") Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao inasema ,Bwana Moto Mabanga amehusisha suala hilo na hisa za kampuni ya Vodacom PLc zinazoendelea kuuzwa kwa umma kwa lengo la kutaka kulipwa deni la Namemco Energy PTY...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU KUTOKA MJENWA BLOG


Ndugu zangu,Kutokana na sababu za kiufundi zikiwamo za marekebisho muhimu, blogu yako ya kijamii, Mjengwablog.com haiko hewani kuanzia jana jioni. 
Wataalam wanalishughuIikia swala hilo  na Mjengwablog itarudi tena hewani kabla ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki. 
Hata hivyo, KwanzaJamii Radio iko hewani kama kawaida, sikiliza live...http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
Poleni kwa usumbufu.
Maggid Mjengwa,Mwenyekiti MtendajiIkoloMediaIringa.

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU - PASI YA KUSAFIRIA (TANZANIA PASSPORT)Jumuiya inapenda kuwatangazia watanzania wa eneo la 'Washington State' na maeneo ya Idaho, Oregon.kujiandikisha kwa wingi wale wote wenye kuhitaji kuomba PASSPORT MPYA YA TANZANIA kama ifuatavyo:Siku ya mwisho kujiandikisha ni Tarehe 5/6/2015 (June 5th, 2015)Siku ya kuonana na Ofisa wa Uhamiaji kutoka Ubalozi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kwa ajili ya maombi hayo ni Tarehe 26/6/2015 - Taarifa ya pahala itatolewa rasmi..Tafadhali wasiliana na wafuatao kujiandikisha rasmi:Emil Muta -...

 

2 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

2 years ago

GPL

TAARIFA YA MKURUENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA KUHUSU KUKOSEKANA KWA HUDUMA‏

Managing Director, Rene Meza. Dear Esteemed Customer,
We sincerely apologize for not being able to provide services to you, our esteemed customers and the public in general on the evening of February 4, 2015. This was due to a technical failure on one of the features on our network. As a result of this you were unable to make voice calls, use the internet and do money transfers. We understand the inconvenience that this outage...

 

9 months ago

Dewji Blog

TFF imetoa taarifa ya mabadiliko kidogo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

Kutokana na sababu mbalimbali, Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imelazimika kubadili Ratiba ya Ligi Kuu kwa michezo kadhaa ya mwanzo kama ifuatavyo.

1. Mchezo Na. 2 – Kagera Sugar vs Mbeya City (20.08.2016)

Mchezo huo sasa utachezwa tarehe 21.08.2016 katika Uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga. Sababu ni kuwa uwanja wa Kaitaba bado utakuwa kwenye matengenezo.

 2. Mchezo Na.4 – Toto African vs Mwadui FC (20.08.2016)

Mchezo huo sasa utachezwa tarehe 24.08.2016...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA BENKI KUU YA TANZANIA

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa kesho Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa chini ya Benki Kuu.
Habari hizi si za kweli na kwamba benki hiyo haipo chini ya usimamizi wa Benki Kuu na itaendelea kutoa huduma kama kawaida.
IMETOLEWA NA IDARA YA UHUSIANO NA ITIFAKI, BENKI KUU YA TANZANIA.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani