Taarifa ya Hali ya Uchumi nchini

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

CCM Blog

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019

Pato la Taifa (kwa bei za 2007)
Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa  na wastani wa ukuaji wa 7.0% kwa miaka miwili iliyopita (2015-2016).

Kwa nchi za EAC, uchumi wa Tanzania ulikua kwa kasi zaidi (7.1%) mwaka 2017 ukilinganisha na Rwanda (6.1%), Uganda (5.1%), Kenya (4.9%), na Burundi (0.0%). Vilevile, Tanzania iliongoza katika ukuaji wa uchumi kwenye nchi za SADC.

Katika kipindi cha Januari hadi Juni 2018, Pato la Taifa lilikua kwa 7.0% ikilinganishwa...

 

2 years ago

MillardAyo

RIPOTI: Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa taarifa ya hali ya uchumi Afrika

maxresdefault-1

Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukuaji wa uchumi katika nchi za eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika ambapo inaonesha kuwa Uchumi unatazamiwa kupungua kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 20. Ripoti ya IMF imesema uchumi katika eneo hilo unatazamiwa kustawi kwa kiwango cha asilimia […]

The post RIPOTI: Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa taarifa ya hali ya uchumi Afrika appeared first on...

 

1 year ago

VOASwahili

4 months ago

MwanaHALISI

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kuwa uchumi unaendelea kukua, serikali imeeleza kwamba washirika wa maendeleo wamekuwa wakisuasua kutoa fedha kwa ...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KATIKA MWAKA 2016 BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016, Mjini Dodoma, ambapo katika mwaka huo, pato la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0, likichangiwa na kukua kwa sekta ya ufuaji umeme, kuimarika kwa huduma za usafirishaji na uhifadhi wa mizigo, sekta ya habari na mawasiliano, ujenzi na uchimbaji wa madini na mawe.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa...

 

3 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Zifanyike tafiti halisi za hali ya uchumi nchini

Kumekuwa na viashiria vingi vya kuyumba kwa uchumi hapa nchini. Watu mbalimbali wamekuwa wakitafsiri hali hiyo wakihusisha na utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano tangu ilipoingia madarakani, mwishoni mwa mwaka jana.

 

3 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WIZARI YA FEDHA NA MIPANGO ILIYOWAWASILISHA BUNGENI: TAARIFA YA HALI YA UCHUMI 2015 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2016/17

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Phillip Mpango akiwasilisha bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 na Mwelekeo wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017.

 

1 year ago

CCM Blog

TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi ndogo za Hazina jijini Dar es salaam, kuelea hali ya uchumi kwa kipindi cha mwaka 2017-2018 na changamoto zilizojitokeza.

IFUATAYO NDIYO TAARIFA YENYEWE

TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI  NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

29 DESEMBA, 2017

UTANGULIZI

Nashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani