TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA UMMA KUTOKA MKOA WA MWANZA

msangii
Tarehe 12.10.2016 majira ya saa 16:35 katika eneo la busenga “a” kata ya Buswelu wilaya ya Ilemela jiji na mkoa wa Mwanza, askari walifanikiwa kumkamata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la juma biria miaka 42, mfanya biashara na mkazi wa mtaa wa Busenga akiwa na vifaa vya kutengeneza noti bandia ambavyo ni kemikali ikiwa ndani chupa kubwa, sabuni ya maji iliyowekwa ndani ya chupa ndogo, karatasi zilizokatwa mfano wa noti ya shilingi elfu kumi pamoja na unga ambao bado haujafahamika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA UMMA

MWANAFUNZI WA CHEKECHEA SHULE YA MSINGI ISANGIJOALIYEJULIKANA KWA JINA LA BARBANAS NKILIJIWA MIAKA 8 AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA MWENZAKE AITWAYE SHOWA PAUL MIAKA 10 AKIPATA MAJERAHA KWENYE MGUU WA KULIA NA UNYAYO, HII NI BAADA YA KUGONGWA NA GARI WALIPOKUA WAKIVUKA BARABARA. AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 16.05.2016 MAJIRA YA SAA 07:30HRS KATIKA BARABARA YA MWANZA – MUSOMA KWENYE ZEBRA CROSS ENEO LA SHULE YA MSINGI ISANGIJO KATA YA BUKANDWE TARAFA YA SANJO WILAYA YA MAGU MKOA WA MWANZA,...

 

3 years ago

Michuzi

2 years ago

Michuzi

2 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LEO TAREHE 11.02.2017: • KIJANA MMOJA WAKIUME ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA AKIMWINGILIA KIMWILI MBUZI WILAYANI NYAMAGANA.

KWAMBA TAREHE 08.02.2017 MAJIRA YA SAA 09:00HRS ASUBUHI, KATIKA MTAA WA MABATINI WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTU MMOJA ALIYEJULIAKANA KWA JINA LA JUMANNE NASSIBU MIAKA 20, MGOGO NA MKAZI WA MTAA WA MABATINI ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA AKIMWINGILIA KIMWILI MBUZI JIKE, KITENDO AMBACHO NIKOSA LA JINAI.

INADAIWA KUWA TAREHE TAJWA HAPO JUU MAJIRA YA 6:00HRS ASUBUHI  MMILIKI WA MBUZI  AITWAYE BENEDICTOR BUNGA MIAKA 33, MKAZI WA MTAA WA MABATINI, ALIKWENDA...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU.


Jeshi la Polisi nchini, katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaimarika, limeendelea na operesheni za kukamata wahalifu wa makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya usalama barabarani katika mikoa yote ili kudhibiti vitendo vya uhalifu na wahalifu. Katika operesheni hizo, Jeshi la Polisi limefanikiwa kukamata silaha na katika baadhi ya mikoa, wananchi wameweza kusalimisha silaha kwa hiari katika vituo vya Polisi.

Operesheni hizi ni endelevu, na ili tuweze kufanikiwa zaidi...

 

3 years ago

Michuzi

1 year ago

Michuzi

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani