TAASISI YA DORIS MOLLEL YAPOKEA VITABU ZAIDI YA 200 KUTOKA MAK SOLUTIONS

OKTOBA 11 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya wasichana duniani. Katika kuelekea siku hiyo, Taasisi ya Doris Mollel chini ya Mkurugenzi wa Idara ya Elimu, Rahma Amood ilipokea vitabu vya kiada zaidi ya 200 kutoka kampuni ya MAK SOLUTIONS.
Kampuni ya MAK SOLUTIONS inayohusika na uuzaji na usambazaji wa vitabu, ilitoa vitabu hivyo ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Taasisi hiyo yenye lengo la kusaidia shule zenye uhaba wa vitabu hususani za wasichana zinazopatikana katika mikoa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Doris Mollel achangia vitabu shule ya Msingi Mpunguzi, Dodoma kwa ushirikiano na Mak Solutions Ltd

1

Doris Mollel akikabidhiwa vitabu 200 na mkurugenzi wa MAK Solutions Bi Meetal Kirubakaran. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwa shule ya msingi Mpunguzi iliyopo Dodoma kama mchango wa kuadhimisha siku ya watoto duniani.(Picha zote na Albert Manifester).

Dodoma, Novemba 2014.

Katika kuadhimisha siku ya watoto duniani inayofanyika tarehe 20 Novemba kila mwaka, Mrembo wa Redds Miss central Zone 2014 Doris Mollel amechangia Vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni moja (1,000,000/=) katika shule ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

DORIS MOLLEL FOUNDATION: Yakabidhi vitabu 200 kwa Shule ya Msingi Midamigha Ilongero SINGIDA

unnamedMwalimu wa taaluma wa shule Msingi Midamigha Ilongero, Singida akipokea vitabu hivyo kutoka taasisi ya Dmf wakati wa kukabidhi vitabu hivyo.

[SINGIDA] Taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ‘DORIS MOLLEL FOUNDATION’(Dmf)  mwishoni mwa wiki imekabidhi vitabu 200 kwa ajili ya kujifunzia  katika shule ya msingi Midamigha ilongero, singida.

Vitabu hivyo vitakuwa chachu na changamoto kwa wanafunzi wa shule hiyo ambapo watapata furasa za kujifunza mambo mbalimbali...

 

3 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL FOUNDATION YATOA VITABU MASHULENI JIJINI DAR

August 9 ya kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Usomaji Vitabu Kwa kila rika (International Book Lovers Day). Katika kusheherekea siku hiyo hapa nchini, Taasisi ya Doris Mollel chini ya Mwanzilishi wake, Bi. Dorice Mollel ilipata wasaa wa kutoa vitabu kwa shule tatu za jijini Dar es Salaam ambazo ni Shule za Sekondari za Tegeta na Mtakuja, pamoja na shule ya msingi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Vitabu hivyo vilitolewa kwa ufadhili wa Rehema Trust Foundation kwenda kwa Doris...

 

5 years ago

Dewji Blog

Miss Ilala 2013 Doris Mollel akabidhi vitabu 50 shule ya msingi Pugu Dar

Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa wanafunzi wa shule hiyo katika harakati zake binafsi za kuwajengea wanafunzi na watoto utamaduni na tabia ya kujisomea kwenye umri mdogo.

Miss Ilala huyo wa mwaka 2013 alitumia nafasi hiyo kuwahamasisha wanafunzi kujisomea kama ufunguo wa maisha yao ya baadaye.

Img_4177

Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembea shule...

 

4 years ago

Michuzi

MISS CENTRAL ZONE 2014 DORIS MOLLEL ACHANGIA VITABU SHULE YA MSINGI MPUNGUZI, DODOMA

1Doris Mollel akikabidhiwa vitabu 200 na mkurugenzi wa MAK Solutions Bi Meetal Kirubakaran. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwa shule ya msingi Mpunguzi iliyopo Dodoma kama mchango wa kuadhimisha siku ya watoto duniani.(Picha zote na Albert Manifester).Dodoma, Novemba 2014.Katika kuadhimisha siku ya watoto duniani inayofanyika tarehe 20 Novemba kila mwaka,  Miss central Zone 2014 Doris Mollel amechangia Vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni moja (1,000,000/=) katika shule ya msingi Mpunguzi...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL

 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimsikiliza Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris Mollel aliyemtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuona namna ya kusaidia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), ambao huitaji uangalizi wa hali ya juu baada ya kuzaliwa kwao. Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo azungumza jambo na Muanzilishi wa Taasisi ya...

 

3 years ago

Michuzi

TAASISI YA DORIS MOLLEL KWA KUSHIRIKIANA NA CBA WASAIDIA HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

Meneja Mahusiano wa Benki ya CBA, Caroline Makatu  akikabidhi msaada wa vitanda na mashine kumsaidia mtoto anayezaliwa kabla ya muda katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Watatu kutoka kulia ni Doris Mollel akiwa katika picha ya pamoja wadau waliofanikisha msaada huo katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTAASISI ya Doris Mollel Foundation (DMF) kwa kushirikiana na Benki ya  CBA...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA DORIS MOLLEL YA YATOA MSAADAWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti duniani,Taasisi ya Doris Mollel inayojihusisha na maswala ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati wameamua kuadhimisha siku hii kwa kumpelekea wheel chair, vyakula pamoja na box la sabuni kwa mama aliyejulikana kwa jina la Zainab Rashidi ambae ni mlemavu,mwenye watoto wawili waliozaliwa kabla ya wakati.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam,Msaidizi wa Kitengo cha Elimu-Taasisi ya Doris Mollel Rahma Amood amesema “Tumeamua kufanya hivi...

 

2 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Taasisi ya Doris Mollel Azinduwa Duka la Kadi jijini Dar

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Bi. Doris Mollel amezinduwa tawi jipya la duka la kadi la Kampuni ya ‘Plus Events Cards’ Mwenge, Sokoni Jijini Dar es Salaam huku akiwataka wajasiliamali wadogo na wakubwa wauzaji wa bidhaa hizo kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo ili wajipatie kipato. Bi. Mollel ametoa kauli hiyo alipokuwa akizinduwa tawi hilo, linalofunguliwa kusogeza huduma za uuzaji kadi za kisasa jumla na rejareja kwa wananchi eneo hilo.
Pamoja na hayo, Bi. Doris Mollel...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani