Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete nchini Tanzania

Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete imekuwa kimbilio la watanzania na wananchi wa nchi jirani wenye matatizo ya moyo toka kuanzishwa mwaka 2008. Taasisi hii inaendelea kukua siku hadi siku.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE IKSHIRIKIANA NA TAASISI YA SAVE CHILD HEART YA NCHINI ISRAEL YAWAPELEKA WATOTO NANE KUTIBIWA MAGONJWA YA MOYO NCHINI HUMO

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau akiongea na waandishi wa habari kuhusu watoto nane wanaokwenda  nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya moyo. Hili ni kundi la nne la watoto kwenda kutibiwa nchini humo tangu mwaka 2015 ambapo JKCI ilianza ushirikiano  na Taasisi ya Save Child Heart  ya kuwapeleka wagonjwa nchini Israel hadi sasa watoto 40 wameshatibiwa na wanaendelea vizuri. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma ya...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA OPEN HEART YA NCHINI AUSTRALIA YAFANYA UPASUAJI WA MOYO

Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanywa na madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ushirikiana na madaktari wenzao wa Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Upasuaji wa Moyo ambaye pia ni Daktari bingwa wa upasuaji wa Moyo Bashir Nyangasa wakati akielezea jinsi kambi hiyo ya upasuaji inavyoendelea kutoa matibabu kwa wagonjwa.
Dkt....

 

3 years ago

Michuzi

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete azuru hospitali ya moyo ya Wolfson nchini Israel

Katika kudumisha urafiki mwema  kati ya  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  (JKCI)  na Hospitali ya Moyo ya Wolfson iliyoko  jijini Tel Aviv, Israel, Kaimu Mkurugenzi wa JKCI  Profesa Mohamed Janabi amefanya ziara kutembelea hospitali hiyo na kuonana na madaktari bingwa wa moyo pamoja na watoto wa Kitanzania kadhaa waliopewa rufaa kwenda kupata matibabu hapo.

Profesa Janabi ameiambia Globu ya Jamii kwa njia ya simu kutoka Tel Aviv kuwa Serikali ya Israel...

 

2 years ago

Ippmedia

1 year ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAAGANA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI CHINA

 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya  Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka China Sun Long wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.   Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya  Moyo ambaye...

 

10 months ago

Michuzi

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia

adaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)na wenzao wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wakifanya upasuaji kwa mtoto ambaye vyumba vyake vya moyo havijakamilika na hivyo damu kwenda kwa wingi kwenye mapafu katika kambi ya siku tano ya matibabu ya moyo iliyomalizika leo katika Taasisi hiyo.Picha na JKCIMadaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia...

 

2 years ago

Michuzi

mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania watembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Edzai Chimonyo. Mabalozi hao wameitembelea taasisi hiyo ili kuona shughuli mbalimbali za kitibabu na wamehahidi kuwenda kupatiwa matibabu kwenye taasisi hiyo badala kwenda nchi nyingine ikiwamo Afrika Kusini kupatiwa huduma za magonjwa ya moyo.Mabalozi wa nchi za Afrika nchini Tanzania...

 

1 year ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MADAKTARI AFRIKA YA NCHINI MAREKANI WAFANYA MATIBABU YA MOYO KWA WAGONJWA KWA KUWEKA KIFAA MAALUM

 Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tulizo Shemu  na mwenzake kutoka Taasisi ya Madaktari Afrika  ya Nchini Marekani Mathew Sackett wakimwekea mgonjwa kifaa maalum cha kurekebisha  mapigo ya moyo ili yawe sawa (kwa jina la kitaalamu Pacemaker) kifaa hicho huwekewa wagonjwa ambao mapigo yao ya moyo yako chini sana. Tangu kuanza kwa kambi maalum ya matibabu ya moyo jumla ya wagonjwa nane wameshawekewa Pacemaker na wengine wanne wanatarajia kuwekewa leo...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA APOLO, BANGALOLE YA NCHINI INDIA WAWAFANYIA WAGONJWA UPASUAJI WA MOYO

 Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari  wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kumuwekea  milango miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Valuves) ambayo itamsaidia kupitisha damu vizuri katika moyo. Kutoka kulia ni Dkt. Sathyaki Nambala, akifuatiwa na Dkt. Bashir Nyangasa  na kushoto ni Dkt. Lebighe Khan.Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani