TAFAKURI YA ABU IDD: CCM inahitaji kura za Kagera 2020?

Watanzania wenzetu wa Mkoa wa Kagera wamekumbwa na tetemeko la ardhi liliowaletea madhara makubwa, ikiwamo baadhi ya ndugu zetu kupoteza maisha, uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu na kadhalika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDD: Tumjibu au tumpuuze Dk Wilbrod Slaa?

Tafakuri yetu leo inaangazia hoja ya kuijibu au kutojibu  hotuba iliyotolewa hivi karibuni na aliyekuwa mwanachama na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Peter Slaa.

 

3 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Ni kura za Chadema, Ukawa au Lowassa?

Mazingira ya wapiga kura wa Tanzania yamegawanyika katika makundi makuu matatu:

 

3 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Kofia mbili CCM zitenganishwe?

Kwa muundo wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa nchi tulie naye hivi sasa ndiye pia mwenyekiti wa chama hicho kwa ngazi ya Taifa.

 

1 year ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABBU IDD: Tunawatathmini tuliowapa kura zetu?

 Wagombea wote wa nafasi za udiwani, ubunge na urais walikuja kwetu kuomba tuwachague baada ya kutueleza ni nini watatufanyia endapo tutawapa kura zetu.

 

1 year ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABDU IDDI : CCM imejiandaa kushinda na kushindwa mwaka 2020?

Chama cha Mapinduzi (CCM) kitaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani mwaka 2020, huku kikitarajiwa kukumbana na ushindani mkali pengine kuliko wowote uliowahi kutokea huko nyuma.

 

2 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, tuwapongeze au tuwakemee

Wadau wa tafakuri hebu leo tulijadili tukio la Wabunge wanaotoka katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya fujo ndani ya Bunge bila ya nidhamu tena mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

1 year ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Watanzania tumeelimika kisiasa?

Wadau wa tafakuri leo tuzamishe fikra zetu tutafakari juu ya matukio kadhaa yanayohusishwa na ushindani wa kisiasa katika mfumo huu wa siasa za vyama vingi katika nchi yetu kisha tujiulize: Je, tumeelimika kwa kuzielewa itakiwavyo siasa za vyama vingi au laa?

 

3 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, Lowassa ameuimarisha upinzani au ameudhoofisha?

Tukiutafakari upinzani katika nchi yetu hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, tunatakiwa tuutazame katika sura nne tofauti:

 

3 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Madhara ya kuruhusu siasa vyuoni

Kama kuna  bomu ambalo tunatakiwa kulitafakari ili tulipoze au  tungojee lilipuke lenyewe na kutuletea madhara,  ni kuwapo kwa  harakati za vyama vya siasa katika vyuo vya elimu ya juu nchini.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani