Taifa Stars yabanwa mbavu nyumbani

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kukubali sare ya bao 1-1 dhidi ya Rwanda ‘Amavubi’ katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza, anaandika Erasto Masalu. Amavubi ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao katika dakika ya 17 kupitia kwa Domicique Nshuti dakika ya 18 ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

SPORT NEWS: Taifa Stars yabanwa na Algeria, yatoa sare ya 2-2!

TAIFA STARSkikosi cha  Taifa Stars

Na Rabi Hume

Mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na timu ya Taifa ya Algeria na mchezo huo kumalizika kwa sare ya goli 2 kwa 2.

Mchezo huo ambao kwa dakika zote 90 ulionekana kutawaliwa na Tanzania ambao katika mchezo wa leo wanaonekana kucheza vizuri tofauti na michezo iliyopita.

Magoli ya Tanzania katika mchezo huo yalipatikana katika dakika ya 43 kupitia kwa Elias Maguli na goli la pili...

 

2 years ago

Mwananchi

England yabanwa mbavu

Bao la dakika za majeruhi lililowekwa kimiani na Vasili Berezutski limefuta ndoto ya England kuibuka na ushindi, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1.

 

1 year ago

Habarileo

Yanga yabanwa mbavu

MABINGWA watetezi Tanzania bara, Yanga jana wamelazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa 17 wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara dhidi ya African Lyon.

 

6 months ago

BBCSwahili

Arsenal yabanwa mbavu na zvezda

Arsenal imekubali kubanwa mbavu na klabu ya FK Crvena zvezda ya Serbia kwa kutoka suluhu ya bila kufungana.

 

4 years ago

GPL

SIMBA YABANWA MBAVU NA STAND UNITED, YATOKA 1-1

Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira. SIMBA SC imelazimishwa sare ya tatu mfululizo nyumbani baada ya kufungana bao 1-1 na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye. Wafungaji  ni...

 

2 years ago

Mwananchi

Yanga yabanwa mbavu Mtwara, Simba, Azam wacheka

Wakati mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakishindwa kuvunja mwiko wa kuifunga Ndanda nyumbani kwao, watani zao Simba na Azam wamesogea kileleni mwa ligi kwa kuzifunga Ruvu Shooting na Prisons.

 

10 months ago

Mwananchi

Taifa Stars yaanza kwa sare nyumbani

Tanzania 'Taifa Stars' imeanza kampeni zake za kufuzu kwa fainali za  Mataifa ya Afrika 2019, Cameroon kwa  kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Lesotho  kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi.

 

2 years ago

Michuzi

MSHIKE MSHIKE KOMBE LA ULAYA 2016: SWITZERLAND YAICHAPA 1-0 ALBANIA, SLOVAKIA YALALA 2-1 KWA WALES NA ENGLAND YABANWA MBAVU NA RUSSIA

Na Dac Popos, Globu ya Jamii.Michuano ya Euro 2016 imeendelea jana kwa michezo mitatu kupigwa katika miji tofauti.
Kwenye dimba la Stade Bollaert-Delelis jijini Lens, Albania ikicheza na wachezaji kumi kwa muda mrefu wa mchezo ilichapwa bao 1-0 na Switzerland. Bao hilo pekee na la ushindi lilifungwa na Fabian Schar dakika ya 5 tu, kwa kichwa kufuatia mpira wa kona iliyopigwa na Xherdan Shaqiri, ambapo kipa wa Albania Etrit Berisha akipiga ngumi hewa kutaka kupangua mpira huo.
Kunako dakika...

 

2 years ago

Dewji Blog

Simba SC yabanwa taifa na JKT Ruvu

Mchezo wa pili wa Simba wa Ligi Kuu ya Vodacoma (VPL) kwa msimu wa 2016/2017 umepigwa katika uwanja wa taifa dhidi ya JKT Ruvu na mchezo huo ukimalizika kwa sare ya bila kufungana.

Simba itabaki ikijilaumu kwani kuanzia dakika ya 60 ilikuwa ikilishambuliaji kwa kasi lango la JKT Ruvu lakini ilishindwa kutumia ipasavyo nafasi ilizokuwa ikizipata na hivyo kuambulia nafasi moja ya mchezo huo.

Baada ya mchezo huo, Simba sasa imefikisha alama nne na mchezo unaofuata inataraji kucheza na Ruvu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani