TAIFA STARS ZAFUNGANA SARE YA 1-1 NA TIMU YA MALAWI,MECHI BADO INAENDELEA UWANJA WA UHURU

Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta akiondoka na mpira mbele ya Mabeki wa Malawi.

Mmoja wa Wachezaji wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) akimchomoko mchezaji wa timu ya Taifa ya Zambia,ambapo mpaka sasa kipindi cha pili timu hizo zimefungana sare ya 1-1 na mpira unaendelea katika uwanja wa Uhuru,jijini Dar.
 Kikosi cha timu ya Taifa Stars Waziri wa Habari,Utamaduni ,sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akiikagua timu ya Taifa Stars kabla ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya timu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mechi ya Azam Fc na Simba kupigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam badala ya Uwanja wa Taifa

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumamosi Septemba 17, 2016 kama ilivyopangwa awali.

farid

Ila mchezo huo utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam badala ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa sababu za kuipa nafasi timu ya taifa ya vijana ya mpira wa miguu ya Congo Brazzaville ambayo itakuwa nchini kwa ajili ya mchezo wa ushindani dhidi ya wenyeji – Serengeti Boys ambayo ni timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka...

 

3 years ago

Vijimambo

ANGALIA MECHI NZIMA YA TANZANIA NA MALAWI ILIYOCHEZWA JUMATANO OCT 7, 2015 UWANJA WA TAIFAMabao ya washambuliaji nyota wa TP Mazembe, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu, yalitosha kuipa Taifa Stars ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Malawi katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi 2018 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa kocha mkuu mpya, mzawa Boniface Mkwasa tangu akabidhiwe mikoba Juni 21 mwaka huu na ni wa kwanza kwa timu hiyo ya taifa ya Tanzania mwaka huu baada ya...

 

3 years ago

Michuzi

YANGA NA AZAM ZAVUTANA MASHATI , ZAFUNGANA 2-2 UWANJA WA TAIFA LEO

 Mshambuliaji wa Timu ya Azam, Kipre Tchetche akiwatoka Mabeki wa Timu ya Yanga, Mbuyu Twite na Vicent Bossou, wakati wa Mtanange wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliopigwa Jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam. Hadi kipenga cha mwisho kikilizwa na Mwamuzi, Kennedy Mapunda, timu zote zilikuwa zimefungana Bao 2-2 na kuzifanya timu hizo zikiondoka uwanjani hapo zikiwa na Pointi sawa ila Yanga ikiongoza Ligi kwa uwingi wa Magoli ya kufunga. Beki wa Yanga, Juma Abdul...

 

1 year ago

Channelten

Matokeo ya sare ya Taifa Stars COSAFA, Bado ni njia nyeupe kusonga mbele, inaoongoza kundi

TAIFA STARS

Baada ya kutoka sare ya bila kufungana na timu ya taifa ya Angola, Taifa stars bado inayo nafasi kubwa ya kusonga mbele kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la COSAFA kufuatia kuwa vinara wa kundi hilo ikiwa imejikusanyia alama 4 na ikisaliwa na mechi moja ya hatua ya makundi dhidi ya Mauritius.

Kwa kuwa mshindi wa kwanza wa hatua ya makundi ndiye pekee atakayefuzu kwenda hatua ya robo fainali, ni wazi kuwa Stars italazimika kushinda mechi dhidi ya Mauritius kwa kuwa timu zote za...

 

2 years ago

Bongo5

Simba SC imeomba mechi zake za Ligi kuu zichezwe uwanja wa taifa badala ya uhuru

Klabu ya Simba SC imeomba mechi zake za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wachee katika Uwanja wa Taifa kutoka wa Uhuru, Dar es Salaam ili kuwalinda wachezaji wake na maumivu.

Hii hapa ni barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Simba kwenda TPLB

img-20160919-wa0037

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

1 year ago

Michuzi

TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0

Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta akiondoka na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Taifa ya Botswana, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0. Mchezaji Gadiel Michael wa Taifa Stars akichuana na Beki wa Botswana, Mosha Gaolaole, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.Mshambuliaji...

 

5 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

 Pichani Balozi Grace MUJUMA  na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.

 

2 years ago

Michuzi

MASAUNI AWAPA HAMASA WACHEZAJI TIMU YA MIEMBENI, YAPAMBANA NA TAIFA JANG’OMBE LIGI KUU ZANZIBAR, ZATOKA SARE UWANJA WA AMANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu, Miembeni Club kabla ya timu hiyo kupambana na Timu ya Taifa Jang’ombe katika Uwanja wa Amani, Zanzibar. Masauni aliwaambia wachezaji wa Timu hiyo inayotoka katika Jimbo lake, wajitume na wahakikishe ushinde unapatikana. Hata hivyo timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli moja kwa moja.Picha na MOHA.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani