Tajiri wa Dunia Bill Gate afungulia account yake mpya ya Instagram akiwa Tanzania

e18b4e8ba4e9487e

Tajiri wa Dunia Bill Gate kwa mara ya kwanza ameipa heshima na historia Tanzania kwa kufungua ukurasa mpya wa Instagram na kutumbukiza Picha yenye kuwaonyesha wanafunzi wa Wa Kicheba Primary School Muheza wakila chakula cha Mchana.

Ikumbukwe hii imekuwa heshima ya Tanzania kwa Dunia nzima kufahamu Tajiri huyu kajiunga kwenye mtandao mkubwa wa Instagram ni akiweka picha moja tu yenye watoto wa Kitanzania wakiwa wanakula chakula cha Mchana.

Mtandao huu unaofatiliwa na watumiaji zaidi ya Billion 1 watafanikiwa kumuona tajiri huyu akiwa na watoto hawa wa Kitanzania.

Share on: WhatsApp

The post Tajiri wa Dunia Bill Gate afungulia account yake mpya ya Instagram akiwa Tanzania appeared first on Channel Ten.

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Zanzibar 24

Mtanzania aliyefanya kazi kwa Bill Gate aeleza haya kuhusu tajiri huyo wa dunia

Kijana wa kitanzania aliyewahi kufanya kazi kwa tajiri namba moja duniani  Bill Gate, anaye julikana kwa jina la Benjamin Fernandes ameyasema haya kupitia mtandao wa Instagram.

Benjamini ameandika kuonesha kiasi gani anafuraha ya kukutana na tajiri huyo aliye kuwepo hapa nchini Tanzania kwasasa.

Kijana huyo ameandika haya kwenye mtandao wake wa Instagram:

Mwaka mmoja uliopita, nilikutana na Bill Gates kwa mara ya kwanza nilivyokuwa nikifanya kazi katika shirika la Bill and...

 

9 months ago

Bongo Movies

Bill Gates Ajiunga Instagram Akiwa Tanzania, Arusha Picha za Muheza Tanga

Dar es Salaam. Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga.

Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania.

Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, Instagram! Nimepata chakula cha mchana kizuri nikiwa na watoto wanaovutia katika Shule ya Msingi Kicheba Muheza na nikakutana...

 

2 years ago

MillardAyo

Justin Bieber kafuta account yake ya Instagram yenye followers mil 77.8, kisa ….

performs onstage during Power 96.1's Jingle Ball 2012 at the Philips Arena on December 12, 2012 in Atlanta.

Justin Bieber ambaye ni star aliyeanza muziki akiwa na umri mdogo na mpaka sasa  anafanya vizuri katika game  ameingia kwenye headlines baada ya kufuta account yake ya Instagram ambayo ilikuwa na followers milioni 77.8. Kisa kimeanzia pale Justin Bieber alipokuwa anapost picha na msichana ambaye ni mtoto wa mwanamuziki Lione Richie mwanamitindo Sofia Richie  mwenye umri wa miaka […]

The post Justin Bieber kafuta account yake ya Instagram yenye followers mil 77.8, kisa …. appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kama Diamond Platnumz atauza account yake Instagram, hii ndio pesa atakayouzia

gh

Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi. Septeber 30 2016 Diamond Platnumz amefanya interview na Clouds Tv kwenye kipindi cha de weekend […]

The post VIDEO: Kama Diamond Platnumz atauza account yake Instagram, hii ndio pesa atakayouzia appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram

Ray new

Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.

Ray new

Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.

“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.

Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...

 

1 year ago

MillardAyo

Mtanzania Benjamin aelezea alivyopata nafasi ya kufanya kazi na Tajiri wa dunia Bill Gates

Haikuwa rahisi kwa Mtanzania Benjamin Fernandes (24) kupata nafasi ya kufanya kazi kwenye Kampuni ya tajiri wa kwanza duniani, kwenye hii video hapa chini ameeleza ilivyokua mpaka akapata nafasi ya kuingia kufanya kazi Bill & Melinda Gates Foundation

The post Mtanzania Benjamin aelezea alivyopata nafasi ya kufanya kazi na Tajiri wa dunia Bill Gates appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

GPL

TAASISI YA BILL NA MELINDA GATE YAANGALIA UWEZEKANO WA KUSAIDIA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA KILIMO NCHINI TANZANIA

Afisa Mwandamizi anayeshughulikia Sera na maendeleo ya kilimo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Bill na Melinda Gates Bw. Stanley Wood akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mara baada ya kufanyika kwa kikao cha mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) nchini Tanzania kuangalia uwezekano wa taasisi hiyo kusaidia miradi ya ukusanyaji wa Takwimu za kilimo nchini Tanzania.Kushoto kwake ni Mratibu wa...

 

3 years ago

Michuzi

TAASISI YA BILL NA MELINDA GATE YAANGALIA UWEZEKANO WA KUSAIDIA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA KILIMO NCHINI TANZANIA.


Afisa Mwandamizi anayeshughulikia Sera na maendeleo ya kilimo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Bill na Melinda Gates Bw. Stanley Wood akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mara baada ya kufanyika kwa kikao cha mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) nchini Tanzania kuangalia uwezekano wa taasisi hiyo kusaidia miradi ya ukusanyaji wa Takwimu za kilimo nchini Tanzania.Kushoto kwake ni Mratibu wa miradi wa Taasisi hiyo Bi.Bhramar Dey. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani