Takukuru kukata rufaa hukumu ya Mhando wa Tanesco

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inaandaa utaratibu wa kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TAKUKURU KUKATA RUFAA DHIDI YA HUKUMU YA MHANDO NA WENZAKE

Kufuatia wadau wengi kuhitaji kujua hatua zitakazochukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) dhidi ya hukumu ya kesi ya rushwa Na. 75/2014 iliyokuwa ikimkabili Bw. William Mhando aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na wenzake watano.
TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba inafanya taratibu za kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo iliyosomwa tarehe 14/4/2016 na Mhe. Hakimu Mkazi Hellen katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaniaba...

 

1 year ago

Habarileo

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

 

1 year ago

Bongo5

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge Lijualikali

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii katika Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema Lijualikali ni mfungwa wa kisiasa na amefungwa kwa sababu ya vita ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Upinzani.

Lissu alisema,...

 

3 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

2 years ago

Habarileo

Tanesco kukata rufaa uamuzi kuilipa benki

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (Tanesco) imepanga kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kibiashara (ICSID) ya Uingereza ya kulitaka shirika hilo kuilipa Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (SCB-HK) Dola za Marekani milioni 148.4 (Sh bilioni 311).

 

1 year ago

CHADEMA Blog

CHADEMA kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge wake kwenda jela miezi sita

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuwa chama hicho kitakata rufaa dhidi ya hukumu ya kwenda jela miezi sita ya Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mheshimiwa Peter Lijualikali wa CHADEMA, iliyotolewa leo na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero,mkoani Morogoro. Tundu Lissu amekiambia kituo cha Radio cha EFM 93.7DSM kwamba, hukumu hiyo ni mwendelezo wa dhuluma

 

2 years ago

BBCSwahili

Jean Ping wa Gabon kukata rufaa, mahakama ya rufaa

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Gabon, Jean Ping, amekata rufaa kwenye mahakama ya katiba kupinga ambapo amesema aliibiwa kura kwenye uchaguzi wa mwezi uliopita.

 

2 years ago

Mtanzania

Mhando wa Tanesco aachiwa huru

Pg 4Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mkewe Eva Mhando na wenzao watatu, wameachiwa huru huku Jamhuri ikihusisha kuachiwa kwao na suala la rushwa.

Washtakiwa hao waliachiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Kwey Rusema ambaye hukumu aliyoandika ilisomwa na Hakimu Mkazi Hellen Riwa.

Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashtaka ya   matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh...

 

2 years ago

Michuzi

IJUE NAMNA YA KUKATA RUFAA.

NA  BASHIR  YAKUB -Unaposhindwa  kesi  sio  mwisho  wa kusaka  haki. Hii  ni  kwasababu  kushindwa  kesi  kunatokana  na  sababu  nyingi . Si  kweli  kuwa  kwakuwa  umeshindwa  kesi  katika  mahakama  fulani  basi  maana  yake  ni  kuwa  ulikuwa  huna  haki. Yawezekana  kabisa  haki  ilikuwa  yako  isipokuwa  umeshindwa  tu  kutokana  na  sababu  nyingine  za  kiutaratibu na  kimbinu (procedures & technicalities).  Pia  waweza  kuwa  umeshindwa  kutokana  na  uwezo  mdogo  wa  kujieleza  na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani