Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Tambwe aahidi raha Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amis Tambwe amewaondoa hofu mashabiki wa klabu hiyo, kwa kusema ana uwezo mkubwa wa kufumania nyavu hata kwenye mashindano ya kimataifa.

 

3 years ago

Habarileo

Tambwe, Ngoma waleta raha Yanga

YANGA jana iliendeleza umwamba kwa Simba katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, baada ya kuinyuka kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

4 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

3 years ago

Habarileo

Tambwe ampa raha Pluijm

KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kupona kwa mshambuliaji wake Mrundi Amissi Tambwe, kumeongeza matumaini ya kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

4 years ago

Mwananchi

Mwigulu awapa raha wafanyabiashara Tanga

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba imewafurahisha wafanyabiashara katika gulio la Tangamano baada ya kutangaziwa rasmi kwamba hawatahamishwa katika eneo hilo.

 

3 years ago

Habarileo

Tambwe awapa somo washambuliaji bara

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amis Tambwe amesema siri ya kuendelea kutikisa nyavu katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara bila kushuka, ni kwa vile amekuwa hasikilizi maneno ya mashabiki uwanjani.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga yatangaza raha

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataikabili Cercle de Joachim ya Mauritius ukiwa ni mchezo wa marudiano hatua ya awali.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga lete raha

NAHODHA Nadir Haroub ’Cannavaro’ aliruka juu kuunganisha mpira wa kona uliochongwa na kiungo Haruna Niyonzima kuandika historia mpya kwa Yanga dhidi ya timu za kiarabu na hasa Al Ahly ya Misri mwaka 2014 ilipoibuka na ushindi wa bao 1-0.

 

3 years ago

Habarileo

Raha imerudi Yanga

YANGA jana imerejesha furaha kwa mashabiki wake baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Majimaji katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani